Eti 4? Kudadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni Siku ya Mechi!!
[emoji471] UEFA Europa League
[emoji909] Old Trafford
[emoji354] Saa 4:00 usiku
[emoji739] Real Sociedad!!
Prediction
Manchester united 4 vs Real sociedad 1
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
#GGMU[emoji83][emoji83][emoji83]
View attachment 2349637
Hako ka timu mnakoenda kucheza Nako alihamis ijayo ,kalishawahi kumuwashia moto real Madrid uefa group stage kalimpiga goli 3 Kama kasimama [emoji23][emoji23][emoji23]Bado timu ina mechi 5 na zinahitajika angalau points 10 kufuzu. Hivyo let’s stay positive.
#GGMU
Mpira haupo hivyo boss!Hako ka timu mnakoenda kucheza Nako alihamis ijayo ,kalishawahi kumuwashia moto real Madrid uefa group stage kalimpiga goli 3 Kama kasimama [emoji23][emoji23][emoji23]
Liverkuku kala 4, Cheltako 1, Arsemavi kashinda kwa fedheha. Chill afu acha kushobokea uzi wetu. Kawaida yetu tunakusoma mara ya kwanza second time huponyoki. We lost two matches zite tulitumia kuimarika, Epl hatupigiki, Europa mwisho leo. ACHA SHOBO MTOTO WA KIUME.Mmesasambuliwa [emoji23]
Mmegongwa bhana acha visingizioLiverkuku kala 4, Cheltako 1, Arsemavi kashinda kwa fedheha. Chill afu acha kushobokea uzi wetu. Kawaida yetu tunakusoma mara ya kwanza second time huponyoki. We lost two matches zite tulitumia kuimarika, Epl hatupigiki, Europa mwisho leo. ACHA SHOBO MTOTO WA KIUME.
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.
Tuna msiba matokeo ya iyo mechi hatuhusiki mama yetu kafariki[emoji24][emoji24]
Tayari mkuu....unataka warudie mara ngapi huo unyumbuMan u haka ni kaupepo subilini kapite mrudie unyumbu wenu
Kosi la ushindi eeeeeeh basi Sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kosi la ushindi ili japo hawa jamaa ni wagumu kweli.View attachment 2350538
Antony mumepigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.
Usimkosee heshima Daniel James mkuu,huyu Antony afadhali ya George Makanga wa KMCAnthony= Daniel James WA pauni mil100
Hamna mchezaji humor huyu ni dancer TU Super Nyamwela.....Huyu antony inatakiwa atulize Sana akili acheze kwa kutulia Ni Kama ana too much expectations anacheza na jukwaa utoto utoto mwingi