Timu ikiwa out of form, hata mchezaji mzuri ataonekana mbovu. Ila timu ikiwa vizuri, hata yule mbovu ataonekana mzuri, wachezaji wanahitaji confidence ili waperformHuyu jamaa katoka kutukanwa na kukejeliwa saana, kapindua meza ndani ya wiki moja tu sasa hivi kila mtu anamsifia.
Huyu mwamba mimi hua nnayakubali yale mashuti yake ya nje ya 18 kwenye goli la mpinzani.
Mkuu utaniwia radhi binafsi sijawahi ona umuhimu wa Pogba Man u. Tena kuna wakati alipokuwa majeruhi tulicheza vyema aliporudi tukaanza kufungwa na sababu ni yeye kupokonywa mpira pale anapolazimisha chenga. Alipoondoka Pogba nilifurahi sana nasubiri Maguire naye asepe.Amesababisha tumemsahau Pogba mapema sana.
Inaonekana wachezaji wa sasa wana nguvu sana kuliko makocha wao.Muda huu Habari ya tuchel kufukuzwa imenishitua ila haijanishangaza sana kwani nilijua itatokezea ila sikutegemea kama itakua mapema.
- Wiki mbili zilizopita niliandika humu ndani, hadithi ya tuchel inafanana kabisa na hadithi ya mourinho
- Wote walilalamikia vikosi vyao wakati wa preseason
- Wote hawakuridhishwa na sajili zilizofanyika
- Wote waliwabwatukia wachezaji hadharani
- Wote walifanya vibaya mechi za maandalizi
- Wote walitofautiana mawazo na mabosi japokuwa haijawekwa wazi
- Jose alifukuzwa na tuchel naye atafukuzwa
- Wachezaji wa mpira wanaweza kumgeuza guardiola aonekane ni nsajigwa mbele ya hadhira ikiwa atapoteza nguvu na ushawishi katika viwanja vya mazoezi
- Waliokuwa hawajacheza na chelsea wajiandae kuanzia wiki ijayo, wiki hii watajikaza kidogo ila wiki ijayo watawasha moto
Ten hag kaonyesha mwanga. Kwenye kugoma kuna ring leaders. Alisha wa identify hao ndio maana wanaanzia bench.Inaonekana wachezaji wa sasa wana nguvu sana kuliko makocha wao.
Yani wanaweza wakaamua kucheza vibaya kisa hawampendi kocha.
Wachezaji wa Man Utd waliwatimulisha kina Ole, Mou kisa wameamua tu. Sijui kama Ten Hag atakuja kusalimika.
Hii tabia ikomeshwe. Wachezaji wapunguziwe nguvu na ushawishi.
Uzuri wa Ten Hag hana mambo mengi, haangalii sura kumuweka mchezaji bench na bado analeta watu wake ambao ni vigumu sana kumgeuka.Inaonekana wachezaji wa sasa wana nguvu sana kuliko makocha wao.
Yani wanaweza wakaamua kucheza vibaya kisa hawampendi kocha.
Wachezaji wa Man Utd waliwatimulisha kina Ole, Mou kisa wameamua tu. Sijui kama Ten Hag atakuja kusalimika.
Hii tabia ikomeshwe. Wachezaji wapunguziwe nguvu na ushawishi.
Naombea hivyo, ila naona ngumu kama chuma.Man utd bingwa anayebisha aje mbele.
Mtajua hamjuiAcha urozi
Nyie utopolo Arsenal mna niniUefa inaanza Leo mmesikia nyie nyumbu laana fc mwaka wa 5 sasa hata kombe lolote lile hamna afu Kuna watu bado wanashabikia hii timu kweli vichaa hawaishi Dunian
PoleniReal Sociedad tuna jambo letu leo [emoji95][emoji95][emoji95]
Haka kamsemo inabidi ufanye kukasajili rasmi.Ni Siku ya Mechi!!
[emoji471] UEFA Europa League
[emoji909] Old Trafford
[emoji354] Saa 4:00 usiku
[emoji739] Real Sociedad!!
Prediction
Manchester united 4 vs Real sociedad 1
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
#GGMU[emoji83][emoji83][emoji83]
View attachment 2349637
Kutamba kote kule mtaani maneno mengi kumbe mnacheza uropa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]