Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi ya jana ulikuwa umeshaitizama kabla ya jana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eriksen huyu jamaa fundi sana anazeeka na ufundi wake tokea amesajiliwa Spurs mara ya kwanza jamaa nilikuwa namkubali sana mpaka leo hii .

Antony inaonekana Man U ilikuwa timu yake tokea udogoni mchizi inaoneka ana mahaba nayo sana na ana shauku ya mafanikio ya haraka sio kama wale wakina Antony wazembe haswa Martial mtu wa mapema .
 
Ile sub ya Fred ilikuja wakati sahihi maana alikuja kuzuia penetration passes za Odegard kwa Saka, hii ilisaidia sana kupunguza pressure upende wa Malacia ambako Saka alikuwa anavuma kila muda.

Bila hivyo msako ungeendelea na wangesawazisha tu, maana team yote ilirudi nyuma.
 
Up the reds

[emoji3525]malacia Jana hakua na game nzuri
[emoji3525]mctominay kaimprove Sana, anakaba vzr, pasi hapotezi Sana
[emoji3525] Ericksen just exceptional
[emoji3525]Rashy chini ya ETH kaimprove
[emoji3525]Above all, timu iko na spirit,,,,ndo kitu tulikikosa tangia enzi za moyes!

#GGMU
 
Ujinga kumsifia tominay ambaye hajui kukaba bila rafu za kipuuzi kumaliza mpira ule bila kadi ni udhaifu mmojawapo wa mwamuzi wa jana anakumbatia mpaka aibu

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 

Ericksen vitu anavyofanya ndivyo paul pogba alitakiwa kufanya kaungana vizur sana na bruno pasi zote zilizozaa magoli chanzo huyo jamaa watahitaji kupata mtu wa namna hiyo kwa sababu umri wake umekwenda

Kiungo cha United kilitakiwa kuwa hivi chini ya huyo kocha mpya endapo angefanikiwa kwa na de jong

De jong
Ericksen
Bruno

Hapo timu ingekuwa na ubora wa kutosha
 
Ujinga kumsifia tominay ambaye hajui kukaba bila rafu za kipuuzi kumaliza mpira ule bila kadi ni udhaifu mmojawapo wa mwamuzi wa jana anakumbatia mpaka aibu

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mda mwingine Dm lazima uwe na roho mbaya ,,,,!! Mzee wa kazi chafu, sio Mambo ya urembo !!!

Huyu unaemuita ana rafu za kipuuzi ndo kawakalisha sambi na Granit wakapoteana !!! Jana martinel na saka ndo walikuwa na uhai tu,,, wengine wote Deadwoods, hata Jesus hakua clinical, anahitaji nafasi nane apate moja !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…