Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  1. Hawa wachezaji waliopo pre season unadhani ndio watakaokuwepo kwenye kikosi cha kupigania ligi kuu?........jose mourinho akiwa marekani akionyesha imani finyu kwa wachezaji wake, katikati ya msimu akafukuzwa
  2. Kuna wachezaji hawataki kuendelea kubaki chelsea (sijui khatma yao).........thomas tuchel........sijui naye atamaliza msimu
Nilichojifunza makocha wengi wanapoteza pambano dhidi ya wachezaji
 
Here we go.....
Ataziba nafasi ya frenkie de jong
1661926643507.png
 
James Garner close to moving to Everton in a deal that could rise to £15m including add-ons.

Still work to do to complete but 21-year-old midfielder set to depart Manchester United.

----------
Ingelikuwa liverpool au manchester city wangelipata paundi milllioni 20 kwenda juu
 
hapa bado striker na full back tu kazi tumalize kipa tayari.View attachment 2339133
Ktk dirisha hili la usajili huyu mtu endapo akapewa nafasi atashangaza sana watu wengi na mapungufu yetu makubwa sana tuliyopitia msimu uliopita yataonekana. Huu unaweza kuwa ndio usajili bora zaidi kuliko hata wa Lisandro na Malacia.
 
Back
Top Bottom