Tatizo mishahara mikubwa.
Huyu Pogba inaonekana mchawi mchawi sana huyu.Ya kweli haya?
Yanaingia akilini?
--------
Mathias reveals his brother Paul Pogba buried a hyena in the center of Old Trafford weeks before leaving, Martial witnessed it and immediately got injured. Investigations continue.
[ @CNews ]
Leicester wabovu tu..tukishindwa kuchukua point tatu ni uzembe kama kawaida.Unaionaje game chief?
Huyu Pogba inaonekana mchawi mchawi sana huyu.
Haka ka Elanga bado sn bora Anthony kaja kakae benchi.Kikosi kinachoanza hivi leo
De Gea; Dalot, Varane, Martinez, Malacia, McTominay, Eriksen, Sancho, Bruno, Elanga, Rashford.
Ronaldo wanataka apaukie bechi nini.
Siku zake zimeisha na siyo yeye tu McTominay pia atafute kazi ya kufanya.Haka ka Elanga bado sn bora Anthony kaja kakae benchi.
Si muumini wa kubadili kikosi hata alipokuwa Ajax.Ten Hag hataki kubadilisha kikosi cha ushindi sio..
Ronaldo na Maguire jasho linawatoka..
GGM
Na italeta heshimaSi muumini wa kubadili kikosi hata alipokuwa Ajax.
Fanya uzembe uozee benchi.
Hii ishu ya ronaldo na maguire huenda anataka kutuonyesha nani bosi mkuu wa klabu kwa sasa.
Ni wachezaji au kocha?
Na ndivyo inapaswa iwe. Sio unakuwa kocha halafu unaendeshwa na wachezaji watatu wanakusukuma kupanga kikosi usicho takaSi muumini wa kubadili kikosi hata alipokuwa Ajax.
Fanya uzembe uozee benchi.
Hii ishu ya ronaldo na maguire huenda anataka kutuonyesha nani bosi mkuu wa klabu kwa sasa.
Ni wachezaji au kocha?
Leicester wabovu tu..tukishindwa kuchukua point tatu ni uzembe kama kawaida.
Tunasubir updates wengine wife wametupiga piniHere we GO. leo ntakuwa live guys.
KazinguaBruno amekuaje aisee