allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,328
- 10,933
Kila siku na waambia huyo ni deep state wa timu aguswi ana kila nude za mchezaji hapo Manchester ukimgusa ndo inakuwa mwisho wako pale OTUchawi upo View attachment 2339751
Kila siku na waambia huyo ni deep state wa timu aguswi ana kila nude za mchezaji hapo Manchester ukimgusa ndo inakuwa mwisho wako pale OTUchawi upo View attachment 2339751
Hatukuwai kumponda Martinez,Nyie AsaniWali tumeshawazoe na makelele yenu.
Mlivyokua mnamtaka Martinez mlikua mnamsifia kwelikweli huko kwenye jukwaa lenu la matusi, ila baada ya kumkosa na kusajiliwa na Manchester United mkaanza kumponda kua ni mfupi sana hafai kua beki wa kati.
Baada ya mechi zake 2 tu akawaprove wrong kwa yote mliyoyasema.
Hata Antony baada ya kucheza mechi zake chache tu mtafunga midomo yenu. View attachment 2339756
Tutaona iyo jumapili mkuuHatukuwai kumponda Martinez,
Martinez ni mzuri tu, usichoelewa ni hivi
Martinez sisi tulimtaka kama backup ya Tierney, ambae kwa sasa tunae zinchenko
Ila nyie mmemuona kama ndio stater, yani panga pangua
Sisi tulimtaka kama left back/
Nyie mmemuona ndio wa kumaliza central back
Hii changamoto ya kimo lazima itawaadhibu tu, wait and see
Kwaio Arsenal na nyumbu walikua wanamuangalia katika angles tofauti
Hili suala la kimo cha Martinez mimi najua wengi mmefuata mkumbo tu kuliongelea kwasababu wachambuzi wameliongelea na kwasababu ndiyo mambo mnayopenda kusikia kuhusu United basi mmevalia njuga.Hatukuwai kumponda Martinez,
Martinez ni mzuri tu, usichoelewa ni hivi
Martinez sisi tulimtaka kama backup ya Tierney, ambae kwa sasa tunae zinchenko
Ila nyie mmemuona kama ndio stater, yani panga pangua
Sisi tulimtaka kama left back/
Nyie mmemuona ndio wa kumaliza central back
Hii changamoto ya kimo lazima itawaadhibu tu, wait and see
Kwaio Arsenal na nyumbu walikua wanamuangalia katika angles tofauti

Kwa akili yako Zichenko ni back up ya Tierney?Hatukuwai kumponda Martinez,
Martinez ni mzuri tu, usichoelewa ni hivi
Martinez sisi tulimtaka kama backup ya Tierney, ambae kwa sasa tunae zinchenko
Ila nyie mmemuona kama ndio stater, yani panga pangua
Sisi tulimtaka kama left back/
Nyie mmemuona ndio wa kumaliza central back
Hii changamoto ya kimo lazima itawaadhibu tu, wait and see
Kwaio Arsenal na nyumbu walikua wanamuangalia katika angles tofauti
Bournemouth, ni tetesi tu lakini.Wapi huko?
Jiandaeni kwa fimbo 4 heavyTutaona iyo jumapili mkuu
Tumekosa shaba tumepata almasiKwa akili yako Zichenko ni back up ya Tierney?
Wan bisaka mpo nae kwa sana tuSwap deal,,,,
AWB for Sergino Dest,,,! Dest sio mzuiaji mzuri ila kwenye attacking yupo vzr !!!
Source uchwara za vichochoroni zinareport tangia Jana !'
After
Anthony
Malacia
Licha
Ericksen
Casemiro
Soon Yule GK wa Newcastle, walau tunahitaji target man mmoja ili tukaipambanie big 4!!!!! Ivan toney atatufaa, ama swap deal ya osimen na Ronaldo(Kuna baadhi ya sources zinasema hivyo)
Somehow #glazersout imefanya kazi Hawa mabwenyenye wameingia mifukoni,,, bila hvo tungepigwa saundi hakuna signing za maana!
Le go reds
#GGMU
Tatizo la english players huwa wanakuja vozur baadae ni kama wanalewa sifa and then wana dissapearHivi Greenwood mpira ndiyo basi tena?
Hivi bado analipwa mshahara? Au anakula chakula cha jela?Hivi Greenwood mpira ndiyo basi tena?