Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,551
- 10,798
Gabriel JesusAnthony Santos
Anthony Martial
Anthony Elanga
Gabriel Martinelli
Gabriel Magalhanes
Gabriel JesusAnthony Santos
Anthony Martial
Anthony Elanga
That's the way to go..Wachezaji wanaopenda kuhamia Old Trafford ndio muhimu. Asante Sana Antony
Bro strikers wanasifa zao soma maelezo mpaka mwishoStriker sio sifa bali ni nafasi ndani ya pitch, hata Mwamnyeto amaweza kupangwa hiyo nafasi japo hana sifa.
United nyie muda si mrefu mtaanza kumponda huyo jamaa.. hamna uvumilivu. Vipaji vingi vimeshindwa kuwika hapo united tangu alipoondoka Ferguson.Huwa hatuna watu kabisa wenye uwezo wa kutembea na mpira sana kwa uwezo wa juu..Anthony atasiadia kiasi kwenye hili
Nitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?United nyie muda si mrefu mtaanza kumponda huyo jamaa.. hamna uvumilivu. Vipaji vingi vimeshindwa kuwika hapo united tangu alipoondoka Ferguson.
Samahani Mkuu.....akikujibu naomba unistueNitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?
Di Maria, Depay, Lukaku inter milan.Nitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?
Anthony ni mmoja tu hao wengine niAnthony Santos
Anthony Martial
Anthony Elanga

Wachezaji hao wapo sema timu inapokuwa imefeli kila mchezaji anageukaHuwa hatuna watu kabisa wenye uwezo wa kutembea na mpira sana kwa uwezo wa juu..Anthony atasiadia kiasi kwenye hili

Nakutajia mmoja, Diego Forlan.Nitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?
Gerald Pique ( Barcelona)Nitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?
Paul PogbaNitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?
hela Ni za club wacha watoe ,,, huyu Anthony bado ana potential huko mbele, anayo room of improvement!!!Van Basten:
"Antony hasn't proven much yet. Of course he played a few good games. But his efficiency has not been high in the last 2 years." View attachment 2339510
Kwani hadi msimu huu yupo huyu jamaa ?Uchawi upo View attachment 2339751
Nyie AsaniWali tumeshawazoe na makelele yenu.Van Basten:
"Antony hasn't proven much yet. Of course he played a few good games. But his efficiency has not been high in the last 2 years." View attachment 2339510
Na wakasema yeye ni mfupi sana.Nyie AsaniWali tumeshawazoe na makelele yenu.
Mlivyokua mnamtaka Martinez mlikua mnamsifia kwelikweli huko kwenye jukwaa lenu la matusi, ila baada ya kumkosa na kusajiliwa na Manchester United mkaanza kumponda kua ni mfupi sana hafai kua beki wa kati.
Baada ya mechi zake 2 tu akawaprove wrong kwa yote mliyoyasema.
Hata Antony baada ya kucheza mechi zake chache tu mtafunga midomo yenu. View attachment 2339756