Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno anazingua kichizi..

It's big time ETH amsogeze Erisken juu kwenye baadhi ya mechi Bruno naye aanzie benchi.
Bruno anapewa nafasi kucheza kwa sababu ya uwezo wake wa kutengeneza nafasi.

Sasa hivi timu yetu haina uelewano mkubwa hivyo unahitaji sana mtu anayetengeza nafasi na kuwa na goal threat kwa mpinzani akiwa eneo lolote.

Angalia goli alilofunga out of a blue kakupa point tatu.
 
Shida ni kwamba mashabiki wa Man u wengi hawanaga heshima kwa wachezaji, ni kama mashabiki wa Madrid na Barca.
 
Gerjan Hamstelaar - Tier 1 Ajax Amsterdam:

Antony is gone.
---- --

huyu bwana alikuwa wa kwanza kuja na taarifa za ajax kukataa ofa ya manchester united dakika chache baada ya mike verweij kupost taarifa ya manchester united kutuma ofa hiyo.

Ukisikia wazee wa za ndaaaaniiii ndio hawaa
 
Huyu antony hata goli 10 eredivise hana afu ndo wakumnunua kwa zaidi ya 90m pounds kweli?
  1. Jack grealish ana goli ngapi?
  2. Pepe ana goli ngapi

Manchester united wameadhibiwa kwa sababu ya ujinga wao, miezi miwili iliopita walikuwa na uwezo wa kumsajili kwa euro million 70 hadi 80.

Ndio madhara ya kuwa na watendaji wa ovyo.

United walikua na uwezo wa kumaliza biashara hii ya usajili ndani ya pre season
 
Kwa akina Elanga bora tu pesa itoke
Screenshot_20220828-145923_Twitter.jpg
 
Huyu antony hata goli 10 eredivise hana afu ndo wakumnunua kwa zaidi ya 90m pounds kweli?
Kwa soko la wachezaji kwa sasa limebadilika saivi 70M hadi 100M is common kwa potential player (wale wanatarajiwa kuwa empowered) i.e: Nunez,Grealish et al.

While miaka kumi iliyopita price za 70M-100M zilikua ni kwaajili ya wachezaji wanaodeliver direct i.e cr7,Bale..
 
Sure thing,yaan kwa performance ya jana,itachochea sana ujio wa Anthony.

I am glad tumeperform vibaya kabla ya dirisha kufungwa na gaps zimeonekana.
Left footed RW tumekosa kwa muda mrefu hii itampa Ten Hag options za kutosha kikosini.

Vipi kuhusu Centre Forward, Martial ameanza kuwa Pancha na hatma ya CR7 haieleweki au

RB Dalot bado hatabiriki na kiwango chake
 
Back
Top Bottom