Bruno sasa hivi amekua ni zaidi ya mzigo kwenye timu, angetafutiwa hata litimu la mkopo aende akajinoe kwanza.Fernandes amekuwa mtu wa papara sana..
Relax Bruno
Malacia????Usajili mzuri mpaka sasa ni wa Ericksen na Martinez. Fernandes hatumwongelei ila ukweli ni kwamba ame-flop kiasi. Elanga na Tyrell wafanyiwe sub mapema, hawapo mchezoni kabsa.
Acha ushabiki maandaziBruno sasa hivi amekua ni zaidi ya mzigo kwenye timu, angetafutiwa hata litimu la mkopo aende akajinoe kwanza.






Bruno na C ronaldo. Ni kama wamesahau kucheza mpiraPamoja na kufunga goal, ila ETH amuangalie vizuri Bruno.. Jamaa kawa sh*t kabisa aisee