Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,341
- 5,122
Sio hela nyingi,infact ni £84,ambayo kwa dunia ya sasa ni kawaida sana,ukiweka €100 inaonekana nyingi sana.
Ingawa huu ni uzembe mwingine wa board,kama tungefanya mapema,hela isingezidi £70
Anyway mimi ni naani nilalamike hela,nachotaka good players,perfomance and good results.
Tuhamie Kwa De Jong Na Gakpo Sasa Tufunge Usajili.
