Ana chomoa na anashindaCity izi goli kwa palace hachomoi
City hii ligi kaishika, wapo kamili kila eneo. Goli 2 ni nyingi ila ndo kama hivyo wanapeta tu.City izi goli kwa palace hachomoi
Bruno anazingua kichizi..Bruno sasa hivi amekua ni zaidi ya mzigo kwenye timu, angetafutiwa hata litimu la mkopo aende akajinoe kwanza.
Tuna points 6 mna points 7 fala wewe. Leicester kawakimbiza huko mmebana mbupu muda wote wa mechi. Unaisema United wakati timu yako haina striker, kiungo tia maji tia maji tu.manjestaa nyie bado Ni takataka tu.
@Daemushin: aliwahi kusema Bruno hawezi mpira wa structureBruno anazingua kichizi..
It's big time ETH amsogeze Erisken juu kwenye baadhi ya mechi Bruno naye aanzie benchi.
Huyu Elanga ni mpuuzi flani tu.Elanga ana tofauti gani na lingardinho???
Wewe ni ze dudu , mpira utajulia wapi dudu weweCity izi goli kwa palace hachomoi



This is Manchester city ,...ukiscore goal 2 usifikili umemaliza maana tunaweza kukunyukasito au kukucrystopalizeCity izi goli kwa palace hachomoi
Tuna points 6 mna points 7 fala wewe. Leicester kawakimbiza huko mmebana mbupu muda wote wa mechi. Unaisema United wakati timu yako haina striker, kiungo tia maji tia maji tu.
Lucky day kwa Chelsea inaweza kuikuta timu yoyote ile. Leicester msimu huu hawapo vizuri, wangekuwa clinical ilikuwa habari nyingine. Mimi najua mbupu nusu zipasuke leo nimeangalia hiyo mechi. Unlucky Leicester City.NYUMBU angelimwa kadi nyekundu zile dakika una uhakika angepata ushindi?