







#MUFC

Baba yake haaland kacheza city na anabifu na united maana kidogo mmvunje mguu enzi hizo ,automatic haaland asingeweza kuja united hata kwa £500million mezani .....!!Hivi kwanini hatukumfikiria Halaan, alikataa au ilikuwaje?
Duh dau limezidi hadi la haalandKimewakaaaaaa
Antony to Manchester United, here we go! Agreement in principle with Ajax, €100m fee. Contract until June 2027 with option until 2028. To be signed tomorrow.#MUFC
Contracts being prepared, it’s Eredivisie historical record fee — Antony will be in Manchester next week.
#FabrizioRomano
#GGMU![]()
United walisema wanahofia atakuja kunenepeana kama baba yake na hivyo kushindwa ku-deliverHivi kwanini hatukumfikiria Halaan, alikataa au ilikuwaje?

Mkuu kipi hujaona humu Duniani, maana hata serikali kuongeza mshahara ma Daktari mpaka waliandamana na sio kwamba hawakuwa na hela hapana walikuwa nazo sema kibri ko Glazer na wao mpaka BOOSTER mKuuDuh dau limezidi hadi la haaland
Mashabiki mda mwingine tuna mihemko watu wanataka glazer waondoke lakn mbona wana mwaga pesa ttz litakuwa kwenye scouting ya tim

Bas wawe wanaandaliwa sasa booster za kutosha 😀Mkuu kipi hujaona humu Duniani, maana hata serikali kuongeza mshahara ma Daktari mpaka waliandamana na sio kwamba hawakuwa na hela hapana walikuwa nazo sema kibri ko Glazer na wao mpaka BOOSTER mKuu![]()
hela yote ilotumika halafu rashford na mctominay ndo wawe wanaanzaAntony fresh,bado namba 9,sioni rashfod kutupeleka popote,martial ni injury prone,ronaldo tia maji....ndo maana nilielewa tulivomtaka anautovic.
Pia Dalot anahitaji competition,anapitika kirahisi sana,kama game ya jana Saints walikua wanashinda upande wake tu.
Mancunian wanataka Glazers waondoke kwasababu pesa wanayotumia kununua wachezaji ni pesa ambayo timu imetengeneza yenyewe na sio uwekezaji wao. Pia wameipa club madeni hata walipoinunua walichukua mkopo na kuhamishia deni kwenye timu. Kingine wanachukua gawio kila mwaka kupitia United baada ya kuiweka katika soko la hisa. Yani wao wanachota tu kidogo kinachobaki ndiyo timu inatumia.Duh dau limezidi hadi la haaland
Mashabiki mda mwingine tuna mihemko watu wanataka glazer waondoke lakn mbona wana mwaga pesa ttz litakuwa kwenye scouting ya tim
Hizo pesa wanazotoa sio zao, na hawana mipango ya kusuka Timu kila msimu huwa wanasajili mashabik wakiwapa presha, yaan sisi kusajil kwetu ni mwishon mwa Dirisha,Duh dau limezidi hadi la haaland
Mashabiki mda mwingine tuna mihemko watu wanataka glazer waondoke lakn mbona wana mwaga pesa ttz litakuwa kwenye scouting ya tim
Hahah! Haaland ni professional player. Kama ni kuja United angekuja kabla ya kwenda Dortmund ila shida ilikuwa ni kwenye mkataba wake walitaka waweke kipengele cha 'release clause' timu kama United siyo 'a selling club' wangekubali huo mkataba huenda angeondoka mapema tu kwa hali iliyopo.Baba yake haaland kacheza city na anabifu na united maana kidogo mmvunje mguu enzi hizo ,automatic haaland asingeweza kuja united hata kwa £500million mezani .....!!

Wameifanyia nn timu, tuanzie hapo.Wewe una waheshimu Martial na Rashford??
Sio hela nyingi,infact ni £84,ambayo kwa dunia ya sasa ni kawaida sana,ukiweka €100 inaonekana nyingi sana.Kimewakaaaaaa
Antony to Manchester United, here we go! Agreement in principle with Ajax, €100m fee. Contract until June 2027 with option until 2028. To be signed tomorrow.#MUFC
Contracts being prepared, it’s Eredivisie historical record fee — Antony will be in Manchester next week.
#FabrizioRomano
#GGMU![]()