MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Soton a.k.a The Saints tuna jambo letu leo kunako majira ya saa nane unusu mchana, wote mnaombwa kuhudhuria bila kukosa.
EtH aende na Bruno kama False 9..I am very sorry for Martial, his injuries have meant to frustrate his career.
Mbona ndo kilicho cheza na Liverpool mkuuKatikati leo...
MACTOMINAY VS ERICKESN
Halaf tukishafungwa tuanze kusema #glazerout.
Mambo mengine ni kujitakia tu
Upo tayari mfungwe?EtH aende na Bruno kama False 9..
Kirusi mzee chenube(cr) asianze kabisa..nipo tayari tufungwe..ila sio yeye acheze..anaua team spirit
Unapendekeza ingepangwaje mkuu? Naona ipo sawaKatikati leo...
MACTOMINAY VS ERICKESN
Halaf tukishafungwa tuanze kusema #glazerout.
Mambo mengine ni kujitakia tu
Unataka kusema pivot mtu akisukuma na kijiti tu inakatika sio 🙂Hiki kikosi sijakielewa kabisa hapo kwenye pivot, ngoja tuone kocha ana lengo gani.View attachment 2336303
Mkuu naona kauli mbiu yako hii ishabebwa na Edo Kumwembe....Ndio wewe!? Au tumstue Kibatala!!??Siku nyingine tena ya furaha kila napopita hapa kitaa watu wana tabasamu tuok
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Southampton 1 Manchester united 2
8:30 mchana
GGMUView attachment 2336031
Ofcourse..as long as naona project ya United nje ya Ronaldo itawork out..Upo tayari mfungwe?
Allypipi hakika unaupiga mwingi sana, mpaka yule kubwa jinga anaejiita raisi wa AssaniWali ameamua kugelezea kale kamsemo kako.Siku nyingine tena ya furaha kila napopita hapa kitaa watu wana tabasamu tuok
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Southampton 1 Manchester united 2
8:30 mchana
GGMUView attachment 2336031
hii kauli ya muda sana mkuu labda kama wewe ndo umeanza kuisikia leo Twitter ndo inatumika mara nyingi.Mkuu naona kauli mbiu yako hii ishabebwa na Edo Kumwembe....Ndio wewe!? Au tumstue Kibatala!!??