Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hao wote uliowataja wanapaswa kuondoka msimu ujao mikataba yao ikiisha.

Pia EtH asifanye makosa ni kheri wiki hii a-push aletewe angalau wachezaji wawili wengine inapaswa walau awe na wachezaji wake aliowasajili wasiopungua sita wanaoanza.
 
Hakuna mpira wowote mliocheza leo bali mlikamia mechi kilichowasaidia wachezaji wenu walijitoa mhanga coz ni big match ila hali yenu ya vipigo itarudi palepale


Hamna cha kujisifu mmecheza na Liverpool ambayo haijakamilika kuanzia beki kiungo mpaka mshambuliaji mmetumia energy kubwa sana sidhani kama mtaionesha mkicheza na midtable timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…