Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naamini EtH ndio kocha na anawajua wachezaji wake kuliko mimi ila nadhani ana tatizo kwenye upangaji wake wa timu.

Acha nisubiri apatiwe wachezaji anaowataka nione vituko.
 
Naamini EtH ndio kocha na anawajua wachezaji wake kuliko mimi ila nadhani ana tatizo kwenye upangaji wake wa timu.

Acha nisubiri apatiwe wachezaji anaowataka nione vituko.
We unataka nani apangwe magwaya au Fred maana sio makosa wamepewa nafasi alafu wanazingua
 
Naamini EtH ndio kocha na anawajua wachezaji wake kuliko mimi ila nadhani ana tatizo kwenye upangaji wake wa timu.

Acha nisubiri apatiwe wachezaji anaowataka nione vituko.
Kwahiyo anajiona kapatia mwenyewe kumuweka Eriksen kama CM wakati wenye nafasi zao wapo.

Timu kama man utd inaingia na AMF wawili dhidi ya Liverpool. Ngoja tuone.
 
Kwa kikosi hicho mnaenda kupigwa miti mpaka akili ziwakae sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Chelsea iliponunuliwa na Roman Abromovic alimchukua mtendaji mkuu David Dein kutoka Man u, ila man u tunamatajiri vilaza sana
Ni Peter Kenyon mwaka 2003. Roman Abramovich alipoinunua tu Chelsea mwaka 2003 mtu wa kwanza kumpa kazi alikuwa ni huyu jamaa alimvua kutoka kwetu.

Baada ya hapo chini yake ndani ya miaka 5 Chelsea walishinda EPL mara mbili. Alichofanya Sheikh Mansour kwa City alim-study Abramovich alichokifanya Chelsea mwaka 2003. Unampa kazi mtendaji mkuu ambaye ni best sokoni kwa wakati husika akujengee timu.

Kuendesha klabu ya soka kwa mafanikio ni zaidi ya pesa. Pesa ni muhimu ila unahitaji sana watu sahihi ktk kila idara. Uwanjani ni reflection ya uongozi wa juu. Ukiwa na viongozi wenye uwezo mdogo hata malaika awe kocha hutoboi.
 
Back
Top Bottom