Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Diogo Dalot amepewa kisu ameambiwa leo jukumu lake ni moja tu la kumenya Kiazi.
Bruno ni katika kirusi ambacho mashabiki hawakizungumzii sana ila anaigharimu timu kwa kiwango kikubwa, anapoteza mipira sana na kujiangusha hovyo, inatakiwa atafutiwa hata timu ya mkopo aende akajinoe tena kama itashindikana kuuzwa.
 
Mmeanza kubrag kuhusu points mapema hivi? Mnatuzidi pionts ngapi sasa?

Mi nashukuru umekubali kuwa hata nyinyi ni viwete [emoji1]
Sasa liveruli ndio kipimo chako kwamba una timu nzuri.

Hiyo si ni kiwete mwezio tu.

Mimi ni kiwete ila siyo permanent. DM zangu zimeumia ndio maana nastruggle kwa sasa.,
 
Back
Top Bottom