Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama huyo Laird sijui anakosaje namba aisee. Baily mtu wa kazi hakuna ubishoo.

Hicho kikosi ni sub 3 tu ila hizo beki dk 90 zinatoboa. Kikosi tunacho basi tu makocha wanakariri sijui wanapangiwa kikosi.

Yani ni kitu basic tu kocha kutambua hawezi kufika mahali na wakina Maguire, Shaw, Dalot, Fred, McTominay, Rashford, De Gea wanapoanza kikosi cha kwanza.
Mazoezini huwa unaenda mkuu?
 
Angalieni mpira wa kisasa na WA kibingwa unaochezwa na Chelsea bingwa wa Dunia kule darajani mjifariji nafasini mwenu
 
Tumefikia huku
255657643088_status_ebd8bd4db5cf4aa2abee7f4d85e0a294.jpg
 
Anazomewa sababu alikataa kujiunga na Westham akaenda jiunga na Forest kwa sababu ya pesa, mbaya zaidi katoa assist ya goli.
Okay japo namuona kaisha Sana Hana speed ileee.


Enda
Jamani Leo nimependa fight ya tuchel na conte.

Imemaliza machungu yangu ya Mimi man utd dam dam. Nataka kocha awe mkorofi inaweza ikasaidia. Namuombea Eric ten hag awe mkorofi
 
Okay japo namuona kaisha Sana Hana speed ileee.


Enda
Jamani Leo nimependa fight ya tuchel na conte.

Imemaliza machungu yangu ya Mimi man utd dam dam. Nataka kocha awe mkorofi inaweza ikasaidia. Namuombea Eric ten hag awe mkorofi
Kwa kikosi gani huyo kocha wenu awe mkorofi?!😆😆 nyie mnachekesha kweli aisee!

Unaanzisha ugomvi kama una wanaume kweli uwanjani, sio ule utumbo wenu.. alaaah!
 
-Ni kweli manchester united imekuwa dhaifu takribani miaka kumi

mzizi wa tatizo upo kwa wamiliki ...but how!?

Timu inaendeshwa kizamani imeshindwa kubadirika na mazingira

bodi imeshindwa kuajiri sport director makini kwa kipindi kirefu
-ni ngumu kupata wachezaji sahihi kwakuwa usajiri unafanyika bila mipango maalumu..kuna mda malegend wa timu wanahusika kutoa maoni yao juu ya usajiri hii nayo mbaya sana ,kama mna kumbukumbu usajiri wa Daniel james ulishinikizwa na Legend wetu Ryan Gigs mwisho wa siku akatimkia leeds

unaposajiri bila uwepo sport director madhara yake ni makubwa sana

Wachezaji wengi wapo man united kimakosa ,lakini kosa kubwa linakuwa kwa bodi...

kila anapoajiriwa kocha mpya anapewa mamlaka hafifu (limited authority)..

Jose mourinho alitoa mapendekezo shaw na martial wauzwe bodi ikapinga

Ragnick kama mshauri wa timu alitoa mapendekezo wachezaji wanaotakiwa kusajiriwa na kutemwa bodi ikapinga pia!! mwisho wa sku wakamfuta na kazi !!

-Erick ten haag amepewa nguvu lakini hajapewa fedha za kutosha

just imagine man city ametwaa EPL lakini ameboresha kikosi eneo la kiungo na eneo la ushambuliaji

just imagine Real madrid imetwaa UEFA lakini imefanya usajiri wa hela ndefu kwa mchezaji mmoja na walikuwa tayari kumnunua mbappe kwa dau kubwa !!


man united inamaliza msimu nafasi ya 2 bajeti ya usajiri ni €200m

man united inamaliza msimu nafasi ya 6 bajeti ni €200m

bodi yetu ina makando mengi siwezi kumaliza kwa kuandika labda nirekodi voice note ya miaka miwili !

Reminder
liverpool ilikuwa na ukame kwa miaka 31 bila kombe la EPL

Klopp kabla ya kupata mafanikio alipitia changamoto kadhaa

alifika fainal mbili ,alipoteza fainal dhidi ya sevilla (ueropa) alipoteza dhidi ya madrid (uefa)

pep guardiola
msimu wake kwanza ulikuwa changamoto kwake kiasi kwamba mashabiki wa man city walisusa kuhudhuria mechi

kujenga timu kunahitaji mda na ushirikiano wa mabosi

GGMU
IMG-20220814-WA0427.jpg
 
Man u mna madogo wazuri Sana hamjui TU, wale madogo kina Iqbar ,gadner , Wana uwezo kuliko mac tominay, ila tatizo Kocha wenu muoga

Man u Ni moja ya timu yenye academy nzuri ulaya , ila makocha wenu wapo under pressure

Fanyen maamuz magumu ,mpigen chin Degea , pale Kati yule Zidane Iqbar , Kuna dogo Mwingine nilimuona preseason Wana uwezo sana ,shida hawaaminiwi

Kocha ajivike mabomu awape nafasi ,ndipo wataibuka na wakuwasaidia

Arsenal tulikuwa tunaamini Willian ,Pepe, Auba, Lacazette, ozil watatusaidia

Kocha akajivika mabomu ,piga chini ozil, auba ,willian ,Pepe, Akawapa nafas Smith Rowe ,saka kwa Pepe, Martinell , bila kusikiliza makelele ya watu , wakaanza kumsikiliza anachowaambia

Ten hagg anasema amewaambia wakawajibike wameenda kufanya wanachojua wao .

Ninachoona Ten hagg ajilipue mabomu tu ,
 
Back
Top Bottom