Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20220815_053216.jpg
 
Baadhi ya wachezaji wenzake na Cristiano Ronaldo wanatamani aondoke maana wanaamini itabadilisha mudi ya timu. [ @samuelluckhurst ] #MUFC
 
Dean Henderson mbona ni kipa mzuri tu, kwann mlimtoa kwa mkopo?
Hakuna mchezaji au kipa yeyote yule anayependa kuchoma mahindi. Dogo baada ya kuona hapati namba akaona bora aende kwa mkopo ili kuokoa kipaji chake.
Kinginecho, timu aliyopo haina presha kubwa kama pale OT. NF hata ikifungwa 30-0 dogo hakuna kitakachompata.
Il pale OT kosa kidogo tu utasemwa mpaka basi
 
Nakubaliana na wewe, Ni wachache tunaoona hiko kitu,hata Chelsea sijui Lin kamfunga man u ,sikumbuki,

Liverpool ana majeruhi sehemu ya kiungo, hata beki ,

Hiyo mech Liverpool anakufa au sare
Shida ni mashambulizi ya Liver dhidi ya beki za Man u hapo ndo tatizo linaanzia
 
Back
Top Bottom