Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakubaliana na wewe, Ni wachache tunaoona hiko kitu,hata Chelsea sijui Lin kamfunga man u ,sikumbuki,

Liverpool ana majeruhi sehemu ya kiungo, hata beki ,

Hiyo mech Liverpool anakufa au sare
Muhimu kujipa matumaini unafanya jambo sahihi
 
Zile 4-0 mlizompiga Liverpool pre-season zinaenda kuwatokea puani wiki ijayo..

Si mliongea sana, tena mbele ya Klopp!😆
 
Nakubaliana na wewe, Ni wachache tunaoona hiko kitu,hata Chelsea sijui Lin kamfunga man u ,sikumbuki,

Liverpool ana majeruhi sehemu ya kiungo, hata beki ,

Hiyo mech Liverpool anakufa au sare
Mdogo mdogo mnaanza kuchanganyikiwa na kuokota makopo , psychologically mshavurugwa na bado ........!
 
Kumbukizi kidogo
IMG-20220815-WA0018.jpg
 
Basi jamani tumekoma.
Kwani hamuna sehem nyingine yakwenda kuchamba mpaka humu tu?

Kufungwa huko tumekuwa wakwanza sisi?
Tuacheni jamani angalau tupumue, mutatuua kwa pressure.
Au nikupe peter shalulile ingia YouTube mcheki he is currently better than cr7
 
Nakubaliana na wewe, Ni wachache tunaoona hiko kitu,hata Chelsea sijui Lin kamfunga man u ,sikumbuki,

Liverpool ana majeruhi sehemu ya kiungo, hata beki ,

Hiyo mech Liverpool anakufa au sare
akifa mimi shoga
 
Mdogo mdogo mnaanza kuchanganyikiwa na kuokota makopo , psychologically mshavurugwa na bado ........!
Kipya kipya ? Tatizo mmeanza kuangalia mpira baada ya kikwete kuingia madarakan

Mm hiyo mech nabet Leo mapema kabisa Nampa man u

Man u hii mbovu, muulize Chelsea amemfunga lini mara ya mwisho, man u ya ole ,Pep kachezea vipigo kilaini kabisa

Kipi kipya sasa
 
Mateso ni makali sana lazima uchanganyikiwe na kuandika fake hope
 
Okay japo namuona kaisha Sana Hana speed ileee.

Enda
Jamani Leo nimependa fight ya tuchel na conte.

Imemaliza machungu yangu ya Mimi man utd dam dam. Nataka kocha awe mkorofi inaweza ikasaidia. Namuombea Eric ten hag awe mkorofi
Ten hag akianza ukorofi na ile kipara yake atateseka sana, labda awe anavaa helmet la sivyo atachezea nakoz za kichwa mpaka akili itamkaa sawa.
 
Back
Top Bottom