Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Afanye kama Arteta..mafaza wote walioletwa kimchongo mchongo na flops wote wawekwe benchi..madogo wapewe nafasi..

Heaton

Laird Bailly Varane Malacia

Zidane Savage Eriksen

Pellistri ×××× Garnacho

Ili akili zitukae sawa na Glazer na bodi nzima waelewe kwamba fagiafagia ndo kitu kinachohitajika maeneo yote..tuanze upya.
Hiv anashindwaje kutumia japo Hawa ulioweka hapo??
 
Kwa hii ratiba ya United. Siion mechi rahisi hadi sasa Wapinzani wote wana uhakika wa kupata points kwetu.

Huyu Kocha anajichimbia kaburi mwenyewe. Hadi kufika january aisee atakua ameota nywele vyema sana maana nina uhakika atasahau hata kwenda saloon
IMG-20220814-WA0346.jpg
 
Afanye kama Arteta..mafaza wote walioletwa kimchongo mchongo na flops wote wawekwe benchi..madogo wapewe nafasi..

Heaton

Laird Bailly Varane Malacia

Zidane Savage Eriksen

Pellistri ×××× Garnacho

Ili akili zitukae sawa na Glazer na bodi nzima waelewe kwamba fagiafagia ndo kitu kinachohitajika maeneo yote..tuanze upya.
Naamini hapa tunaweza ona kitu kinachojengwa.
Vinginevyo kocha anafukuzwa. Ajue hayo makubwa yanajiona sana.

Why hawakumuacha Ronaldo asepe? Hata tulete forward ni kazi bure maana mzee Ronaldo ukute amesain as Crucial First Team player.

Akiinquire about his role in club itakuaje, mvutano tu.

Ten Haag jivike mabomu.
 
Hiv anashindwaje kutumia japo Hawa ulioweka hapo??
Itakua ni Clause za mkataba, madogo wamesain as Future first team player, squad rotation players, sporadic and important first team players

While makubwa jinga yamesaini as Crucial first team player it means watakua ndio wanaanza.

Mzee ajivike mabomu atawapa kisingizio kua hawana morale or hawapo onform.

Hope madogo hawawezi mwangusha hata kucheza soka safi inaweza saidia kumpa Ten Haag sababu ya Rebuild.

Piga benchi hao wote na mazoezini ahakikishe hao mafaza hawana kelele bali kazi kazi.
 
Kwa hii ratiba ya United. Siion mechi rahisi hadi sasa Wapinzani wote wana uhakika wa kupata points kwetu.

Huyu Kocha anajichimbia kaburi mwenyewe. Hadi kufika january aisee atakua ameota nywele vyema sana maana nina uhakika atasahau hata kwenda saloonView attachment 2323610

January hawezi kufika huyo,maana sijao timu ya kuifunga kwa uwezo wake huyo.epl hapo kugumu makocha kilA wakati wanatimuliwa kwa moto hapo
 
Madogo hawana makuu nao wanataka kushine, na wakijua kocha kajivika mabomu kupiga chini Seniors naamini huenda wakamsikiliza kocha sana kuliko hao seniors walioona hawaathiriki chochote hata wasipomsikiliza kocha

Kocha awape madogo sehemu zenye blunders nyingi,

RB LAIRD
Savage na Iqbal katikati hata Garner

Upande Wa Trashford hata Sancho Gernacho, Pellistri na Amad
 
Itakua ni Clause za mkataba, madogo wamesain as Future first team player, squad rotation players, sporadic and important first team players

While makubwa jinga yamesaini as Crucial first team player it means watakua ndio wanaanza.

Mzee ajivike mabomu atawapa kisingizio kua hawana morale or hawapo onform.

Hope madogo hawawezi mwangusha hata kucheza soka safi inaweza saidia kumpa Ten Haag sababu ya Rebuild.

Piga benchi hao wote na mazoezini ahakikishe hao mafaza hawana kelele bali kazi kazi.
Nakumbuka Moja na squad iliyo pindua meza kati ya Man na PSG ni Hawa madogo mixer na first team.
Screenshot_20220814-145236.jpg

Nakuhakikishia Europa madogo watacheza poa sana trust me
 
Nakumbuka Moja na squad iliyo pindua meza kati ya Man na PSG ni Hawa madogo mixer na first team.

Nakuhakikishia Europa madogo watacheza poa sana trust me
Tena sana, hata ile Fainal angeacha mchanganyiko wa madogo.

Na pia madogo wakianza kuwasha moto, ahakikishe seniors wanaoharibu kwa kelele kina Trashford, Bruno if habadiliki, Ronaldo, na seniors wasiofit timu kina McTomminay, Maguire, Fred, Dalot wanaoneshwa mlango wa kutokea.
 
Hivi mishahara hii huh
Screenshot_20220814-150517.jpg

Wengine
Screenshot_20220814-150400.jpg

Mshahara wa 500,000 inanikera Sana.

Screenshot_20220814-151514.jpg

Liverpool lazima inahangaika kuondoka Salah type sio sura nzr kuwa na payment kubwa hiv

Kumbe ndio mana wachezaji hawauziki.
Screenshot_20220814-151233.jpg

Screenshot_20220814-151419.jpg

Timu zetu zinawakati mgumu Sana
 
Attachments

  • Screenshot_20220814-151514.jpg
    Screenshot_20220814-151514.jpg
    52.5 KB · Views: 13
Back
Top Bottom