Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?
 
Njoo tena utoe comment
 
Ten Haag anajiharibia sana.

Malacia yuko poa more than Shaw right now cha ajabu hapangwi.

Why asijaribu gernancho upande wa Trashford, kina Pellistri na Garner pamoja na Iqbal ili wawe watu wake.

Anza kupiga benchi Bruno, Trashford, McTomminay, Fred.

Hata Arsenal ilisimama baada ya Arteta kuamua kuachana na mizee ya first team na kwenda na Saka, Smith Rowe, Martinell, Odegaard, timu ilikaa sawa.

Watu wamefukuzisha makocha bado unakomaa nao.nm
 
Thomas Frank explaining in the post-match interview that they targeted Martinez’s height by going long more often after seeing Brighton do similar last week… I barely saw the game so can’t comment but I’m unsure how it can be brushed off as a non-issue so far, based on that.
 
Safari hii lawama sijui mtampa nani?

Pogba kawaachia timu yenu.

Ila naona kama kocha uwezo mdogo sana sijui atashinda mechi gani hapo epl.
Kocha nae anatia wasiwasi ,kacheza na double no.10 leo , nikashangaa Sana, Ole Guna aliwahi kujaribu acheze na Bruno na pogba ,ikabuma,

Kocha wangu ARTETA mwenyewe alikuwa anapenda Sana kucheza na double no.8/10 ,lkn amechukua karibu mwaka na nusu kuja kuanza kucheza hivo, hapo epl Ni pep tu ndio anafanya hivo.

Sasa hapa Eriksen na Bruno hawafanyi kile anachofanya Labda Gundogan na Bernado as Double 8/10

halafu unacheza na Brentford wanaojaza viungo wengi katikati,

ETH haijui epl, haitaki majaribio ,unaadhibiwa tu
 
Kabisa kabisa kocha aliamini anaweza kuna kauli zake mwanzoni niliona zitamcost kwamba kikosi bado ni kizuri sababu kilimaliza ligi nafasi ya 2 msimu uliopita
na bado anaamini siuliona sub ya Mctominay alijua atamsaidia akawa anapiga pasi nje kwa kibendera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…