Na dirisha bado halijafungwa waseme Sasa kwamba hatuhitaji kusajili ama lakuna watu wanatwambiaga sisi tumekata tamaa hatujui mpira timu inahitaji rebuilding na kocha hatujui anataka kucheza vipi ni mapema sana pia usaji wanasema unatosha ! bado hamkubali ? kama wale wanaongia uwanjani wenzao wanaandamana
Ligi ipi?? 😁😁😁😁😁😁😁Kabisa kabisa kocha aliamini anaweza kuna kauli zake mwanzoni niliona zitamcost kwamba kikosi bado ni kizuri sababu kilimaliza ligi nafasi ya 2 msimu uliopita
Tatizo kubwa ni katikati.. Bedford wanapita kama maji, Tena wanaficha eneo la Kati kana Kwamba hawakitumii lkn kiungonwao anagwan mipira kama hataki vile. Jmn nimekubali sisi ni wapuuziKabisa kabisa kocha aliamini anaweza kuna kauli zake mwanzoni niliona zitamcost kwamba kikosi bado ni kizuri sababu kilimaliza ligi nafasi ya 2 msimu uliopita
Zile goli nne nne za pri-season wenyewe ndio wanaanza kuzirudisha kwenye league.Looooooo what's happening here, MAN UTD,4-0 hata afterlife bado
Kwa hiyo Magwayaaaa umeona abaki... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wee jamaa bhanaaEricksen [emoji777]
Dalot [emoji777]
Bruno [emoji777]
Fred [emoji777]
Shaw[emoji777]
De gea [emoji777]
Sancho [emoji777]
Cr7[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Fans live matter
Punguza hasira mkuuJambo lingine it's far better Roy fuc.kin Kean, Paul schole na Neville they fuc.k shut their mouth.
Kama kwamba wangependa timu ifanye vyema wangeingia wao 1999. Stupid idiot
Magwaya kitasaka hiko mzeeKwa hiyo Magwayaaaa umeona abaki... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wee jamaa bhanaa