Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Asubuhi ya leo nilikatiza kwenye viunga vya Mloganzila, kila ninaepishana nae anacheka, hata wale wangonjwa waliobebwa kwenye machela na wenyewe wanatabasamu ikabidi nimuulize daktari leo vipi mbona hii hali siielewi?Aise yani nimekaa na mdau mmoja hapa anatabasamu kweli na kuchekacheka[emoji16] yani jamaa lina furaha kweli kweli naliuliza unacheka cheka nini lime ni jibu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Brentford 1 Manchester united 3
Time:1:30View attachment 2322609
Dokta akanijibu kua kwa pale hospitali ni kawaida siku Manchester United itapokua inacheza watu wote hua na furaha, hata dawa za kupunguza maumivu siku hio hua hazitumiki sana.
Hapo ndio nikakumbuka ile kauli ya allypipi ya kwamba :-
"Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]"