Bujibuji mafuriko
Member
- Aug 5, 2022
- 88
- 120
Asernal eee kweli kabisa.Nyie nafasi yenu ni kuanzia tano huko...top four sahauni kabisa aisee
Nilimcheki Leo Kwa YouTube Hadi GB zikakata. Sio mbya labda Umritarget ni rabiot ?
Daaah hii ni ile interior kabisa,Pre season ilikuwaje ..mbona mulikuwa munashinda.
Munaliwa kimasikhara Yani kiboya boya tu munapakuliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manjestaa Ni Mandonga aliyechangamka ..mikwara mingi prisezon alafu kwenye ligi kirahissi munaliwa za uso madogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni upuuzii apewe mda gan kwamba n shamba la bibi kila mtu akija apewe mudaUtd fans Ni sikio la kufa!
Tulishaambiwa ni Ni re-building,,, sio process ya siku moja au mwaka mmoja,,,,
Mnataka timu nzima isajiliwe kwenye window moja ? Ni Kitu ambacho hakiwezekani, hata kidogo ,,, ! It will take time,,,
Au mnataka tuchukue EPL na combination ya macFred? [emoji23], !!!!
Wenzetu wako too professional kwenye kuendesha timu zao,sio Kama sisi huku Africa tunaendesha na mihemuko, kukomoana na siasa ! mfano kila window lazima wanaangalia outgoings na incomings, ili kubalance madaftari yao kibiashara na kuepuka rungu la FFP,,,, !!
EtH apewe muda, naamini board itamsapoti, ndani ya misimu walau miwili ndio tuje hapa tupime uwezo wake,,,,!!! Kuna kitu anakiongea Sana hatumuelewi(right player), alafu enzi za punic buying za Woodward zilishapita,,,, ! (rejea kina falcao, dimaria, rojo ,blind , n.k, mikataba minono , hamna wanacho-deliver)
Pep alipokuja city pamoja na wahuni wale wa kiarabu kumwaga hela atakavyo lakini ilimchukua zaidi ya msimu mmoja kuijenga city tunayoiona Sasa hivi,,, ,,
Vile vile klop alikuta magarasa kibao akayasafisha na kusajili karbia misimu minne, ndio liver tunayoiona Leo kila msimu wanagombania kombe,, !!!!
Utd sasa baada ya mechi moja kila mtu anaongea yake,,, serious tunataka kuchukua epl au [emoji23][emoji23][emoji23], !! EtH sio kocha mmbaya, tumpe muda, tukubali kebehi, maumivu na masimango ya kila namna kutoka kwa majirani zetu ,,, !!
Thought on other teams,,, ??
City untouchable
Liver wako Good, mid yao tia maji tia maji waombe Sana wachezaji wao wawe fit na consistent!
Arsenal ni Ile ile miaka nenda rudi
Chelsea wakikaza wanaweza kuingia top four
Spurs,,,dah Conte tunamchukulia poa ila this time anaweza kutupa lesson!
Trust the process,,, Glory Glory Utd
Ebu taja mchezaji ambaye haja drop kwenye kikosi cha man u?Ila Fernandes aisee amedrop sana..sijui wenzangu mnamuonaje..
[emoji23][emoji23][emoji23]kudadekiii
Wewe ajenda yako huwa Ni magwaya TU😂😂😂😂Paundi milioni 80 [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2318443
[emoji38]uyu Magwaya Ni miyeyusho Sana aisee
Bro. kuheshimiana ni muhimu sana, hata kama tunatumia majina fake na hamna immediate outreach ya kuharibiana.Duh unaota wewe mdada
Noted.We na Ronaldo wako unaboa sasa, mtu yupo kwenye kikosi na kaingizwa kipindi cha pili wakati timu ishafungwa goli mbili bila na bado unalaumu kwnn kaingia ulitaka asiingie ili awe analipwa mshahara wa bure? Punguza bias basi, kuna mda uwe rational bhn.
We na Ronaldo wako unaboa sasa, mtu yupo kwenye kikosi na kaingizwa kipindi cha pili wakati timu ishafungwa goli mbili bila na bado unalaumu kwnn kaingia ulitaka asiingie ili awe analipwa mshahara wa bure? Punguza bias basi, kuna mda uwe rational bhn.
Dah yani nashangaa fans wenzangu mnavyo lalamika yani hivi mlitegemea nini cha ajabu man u tutafanya msimu huu.
Yani kocha hata mechi 10 ajamaliza kelele mbona tulikubalia humu kuwa msimu huu tusitarajie makubwa mmekuwaje hivi.
Hivi mnajua mki panic mashabiki mna mpa kocha nae pressure ya kufanya nae a panic.
Mimi kama allypipi kwangu kwenda big 4 au kushinda ueropa naona ndo yatakuwa mafanikio makubwa kwetu msimu huu hakuna jipya.
Nakushauri tu kama una tegemea makubwa kutoka kwa Manchester united msimu huu bora uache kufatilia mpira tu Mpaka pale utaposikia mambo yapo sawa.
hata Ac milan wamekaa muda lakini wamevumilia msimu ulio kwisha wametwaa taji.
Inabidi tu tukubali kwamba kwa sasa hatuna uwezo huo wakujilinganisha na liver,city
Tuvumilie tu ndo timu yetu.
[emoji706]Mkuu,
Weakness ya Martinez siyo speed ni physique(esp. Height yake)
Unawezaje kucheza high line ikiwa beki wako hana pace?
Kwenye huu mfumo, Which factor can be compromised, pace au ball playing ability ya defender? Pengine mm ndo sielewi au
Who is more suited kwenye huu mfumo wa high line? Maguire au Bailly?
Wote tunafahamu Maguire hana pace, tukicheza high line anakuwa exposed. Msimu wa 19/20 kuna kipindi tulicheza mechi kadhaa bila ku concede, tulikuwa tunacheza low block na Maguire alishine sana.
Sasa unaposema Bailly anafit kwenye low block pekee nashangaa
Umemaliza kila kitu.By any means inabid mpate DEFENSIVE MIDFIELDER
Mtafuteni mtu mfanano na partey au fenandinho
Hayo menginge yatakaa sawa.
Nilishawai kusema na nasema tena
Hapa dunia hakuna beki akipelekewa moto mara nne mfululizo asipoteane
Tutamlaumu magwaya bure tu
Huyu Martinez soon mtaona kama mmepigwa