Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna kitu wanajua tukiongea humu kwamba hamna wachezaji kulimtu lina kuja hapa kusema sijui maswala ya academy sijui fred anapata namba Brazil mara ooh sio lazima maguaya anapata na England

Maguaya
Fred
Mactom
Degea
Shaw
Hamna kitu hawa wachezaji wakusugua benchii na pengine kuuzwa

Mmoja wao sijui anaitwa chief hajui mpira na atakuja hapa kuongea ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point 3 zishaenda [emoji16][emoji16] tutakuja kujua kuwa RR alikua sahihi hawa ni wakusepa wotee.
Pogba hayupo sasa zamu ya Ronaldo kubeba lawama zetu.
Karibu EPL Tan huku sio kwa ajax aendelee kusema atadevelop hahah nyingine lini wakuu?
 
ETH muda wake unaisha kwa speed kali mno, huenda Christmas akawa ameshatimuliwa. Makosa ya ETH kutobadilisha kikosi. Hao vijana walishashindwa toka msimu uliopita. Inasikitisha sana.
ETH haondoki kirahisi hivyo.

Matatizo ya United yapo kwenye management.

Kama unashindwa kuuza wachezaji unategemea kocha afanye nini.?

RR alisema tunahitaji kufanya open heart surgery kwenye usajili.

Leo tunaanza msimu hatujagusa maeneo muhimu. Miezi mitatu tunahusishwa na mchezaji mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…