Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tukutane Oslo saa saba mchana.. simeoni leo hata akipaki treni atakula za kutosha
Utabiri... man 4 atletico 1.

Pole sana. Expected Man U win over 3.5

Reality Atlentico won the match.

Note: don’t expect more from man u, u will die b4 ur day
 
Khaa! Kweli uchawi upo hadi ulaya.tumepiga kofuli asiondoke
Screenshot_20220730-184244_Facebook.jpg
 
mkitaka kuamini tuna wachezaji wa hovyo angalia perfomance ya wachezaji wapya eriksen na malacia kisha waliobaki ukitoa fred ndo mana wengine tunasema bado usajili haujatosha yale matakataka ndo mana Ralf alisema waje 10 wapya
 
Kwahiyo tunaanza msimu mpya tukiwategemea akina Rashid, Elanga na Martial kama striking players wetu?

Kiungo macho tunakikabidhi kwa Tominay na Fred(ingawa leo kacheza vizuri), tupo serious kweli?

Hehehe, kazi ipo.

Usajili wa Malacia mpaka sasa unaonekana kuleta matumaini, bado sijamuona vizuri Martinez.
 
mkitaka kuamini tuna wachezaji wa hovyo angalia perfomance ya wachezaji wapya eriksen na malacia kisha waliobaki ukitoa fred ndo mana wengine tunasema bado usajili haujatosha yale matakataka ndo mana Ralf alisema waje 10 wapya
Lakini wapumbavu wachache wakajaribu kutupa mzigo wa team mbovu kwa mtu mmoja (ronaldo), wakati haiihitaji akili nyingi kujua kuwa tuna magarasa yamejaa hapo, tena ambayo hatuwezi kuyauza popote.

Ukiwatoa De gea, Malacia, Ronaldo, Eriksen, Martinez hapo Man U tuna wachezaji gani wa maana?? (Fred ni mzuri ila hana consistency).
 
Manchester united. Vs Atletico Madrid ,

Imenikatisha tamaa Sana. ETH anawakati mgumu Sana kuijenga timu.

The likes of Rashford, Maguire, dalot, Marshal na Fernandez Wana performance ya kiduanzi Sana. Wakati mwingine wanawapa kazi kubwa wenzao.
 
Lakini wapumbavu wachache wakajaribu kutupa mzigo wa team mbovu kwa mtu mmoja (ronaldo), wakati haiihitaji akili nyingi kujua kuwa tuna magarasa yamejaa hapo, tena ambayo hatuwezi kuyauza popote.

Ukiwatoa De gea, Malacia, Ronaldo, Eriksen, Martinez hapo Man U tuna wachezaji gani wa maana?? (Fred ni mzuri ila hana consistency).
Mbona hao nao tunawaongelea, tushasema mara nyingi ili man u urudi tunahitaji kuondoa ufaza na ubishoo, Ronaldo kubwa la mafaza hasara tupu.

Alafu boss kubali Ronaldo tuliyenaye sio yule wa United ya Fergie wala Madrid
 
Lakini wapumbavu wachache wakajaribu kutupa mzigo wa team mbovu kwa mtu mmoja (ronaldo), wakati haiihitaji akili nyingi kujua kuwa tuna magarasa yamejaa hapo, tena ambayo hatuwezi kuyauza popote.

Ukiwatoa De gea, Malacia, Ronaldo, Eriksen, Martinez hapo Man U tuna wachezaji gani wa maana?? (Fred ni mzuri ila hana consistency).
Kutoa mawazo kwa kuanza kutukana au kukashfu wengine ni utoto.

Kumbuka wanaotoa mawazo yao nao ni watu wazima na akili zao timamu usitake mtazamo wako uwe sahihi na waliona mtazamo tofauti ni wapumbavu.

Ni ishara ya kukosa utu, hekima na busara.
 
Back
Top Bottom