Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Dogo Malacia naona anautumia upande wake vyema zile Pass ndefu ndefu penetration nimezipenda, zimesaidia kujua kua Tusipo sajiri sura mpya mbele (Forward) hatufiki popote Martial ubishoo tele, Trashford hasara tupu kila kitu anataka kupiga na hana accuracy, Ronaldo ndio hivyo katukera kwa kujiona yeye ndie mkubwa kuliko Timu.

Forward isajiliwe haraka tunahitaji Sura mpya ya Kazi na Uchu, hawa madogo wametosheka sana.
martial,rashford,elanga na Mctominay wote miyayusho
 
Kuna jambo moja linaniudhi sana unakuta Foul ya kawaida tu ila mtu anavyogalagala utafkr kakatwa mguu mbaya zaidi unakuta mpira ulikua ushafika lango la adui So unaamua kusimama...ivi awa wanaangaliaga game za Bundasliga hasa za bayern??

Jambo linalofanya bayern kumchukua mane nahisi moja ya sababu ni majeruhi yaani mpaka uje umuone mane injury ujue kaumia aswaa tena kaumia pakubwa tu ndo sasa wale kina Sengbe kwenye game zao unaweza kuona mtu kamkata rafu ila majamaa yanasonga tu...sasa ndomaana wakamvuta na mane kwenye fainali UCL kuna kiatu alipigwa na Carvajal nkasema uyu hanyanyuki ila mwamba akanyanyuka akaendelea kusakata kama kawa bayern inapenda sana wachezaji dizaini hii..


ila uku kina rashford,Elanga ukimgusa kidgo tu analala kusubiri atengewe foul Tabia inakera sana hii
Man united inafeli kutokana na ubishoo wa wachezaji, kujiangusha hovyo na kupenda kulalamika kwa refa ndio kitu inayonifanya nisimkubali kiviiile Bruno Fernandez, na huu upuuzi tayari ameshawaambukiza wachezaji wengi wa United.
Timu imejaa umama sana na kupenda kudekezwa hovyo.
 
naona kichapo ni cha muhimu kuliko tungeshinda tungejiona tunaingia kwenye ligi tupo bora kumbe amna kitu.

Nilichokiona mbele kwenye ufungaji bado tuna legalega nadhani imetukosti kufatana na sancho kukosekana pale mbele.

Ila bado wakuu tunaitaji sana strike pale mbele.
 
naona kichapo ni cha muhimu kuliko tungeshinda tungejiona tunaingia kwenye ligi tupo bora kumbe amna kitu.

Nilichokiona mbele kwenye ufungaji bado tuna legalega nadhani imetukosti kufatana na sancho kukosekana pale mbele.

Ila bado wakuu tunaitaji sana strike pale mbele.
Dunia kwasasa haina CF

Kina Nunez wanaootea msimu mmoja unauziwa €100m

Yule Abraham aliyefukuzwa pale Chelsea bila €80m humpati


Unamtaka CF GANI?

Cr7 anawasumbueni
 
Man united inafeli kutokana na ubishoo wa wachezaji, kujiangungusha hovyohovyo na kupenda kulalamika kwa refa ndio kitu inayonifanya nisimkubali kiviiile Bruno Fernandez, na huu upuuzi tayari ameshawaambukiza wachezaji wengi wa United.
Timu imejaa umama sana na kupenda kudekezwa hovyo.
Huo Ubishoo ndo unaponza kwakweli Fred,MCtomminay na hata Cr7 wajitafakari hasira zao wasubiri mpira uishe Fred kakanyaga mtu vbaya sana na Red card juu...Felix analijua goli vizuri achana na foward zetu zinavyofeli pamoja na yote ERICKSEN ni MASHINE acha ETH azibe Ufa kesho kikosi kinabadilika pakubwa ngoja tuone itavyokua....
FT 0-1 goli ambalo uwezi kumlaumu beki yoyote coz mwanzo walipata chance nyingi sanaaa wakazichezea..ATM deserve a win ....mara ya mwisho kuwafunga ATM wema alikua bado bikra
Screenshot_20220730-163437.jpg
 
Benni McCarthy will become a first-team coach for #mufc.
He speaks four languages and has been working as a manager in South Africa’s top division at Cape Town City and Amazulu.

AndyMitten

____________
ukitajiwa jina la benny mcCarthy kwa mshabiki wa manchester united unavuta kumbukumhu zako kwenye mchezo wa UEFA dhidi ya FC PORTO mnamo mwaka 2004.
FY6TXzxX0AEtKht.jpeg
 
Tangu aondoke Van Persie pale OT hatujawahi kupata 9 ya kueleweka.
Na timu haijawahi kuwekeza pesa kutafuta mtu kwenye eneo hilo zaidi ya Lukaku.

Sikuona kama Lukaku alikuwa anafanikiwa Manchester United maana Lukaku hawezi kucheza timu zenye pressure kubwa.

Nafikiri kuibuka kwa Mason Greenwood kuliwaaminisha matajiri wa United kuwa huenda wamepata mtu wa kuitumikia nafasi hiyo kwa miaka kumi ijayo.

Nimeona tetesi za Benjamin Sesko nikiri sijawahi kumuona Sesko ila kwangu naona heri tungempata Lautaro Martinez au Rafael Leao kama hatumuoni Schick kama jibu la eneo hilo.
 
Jaman ndo kwaanza tuna mwezi mmoja na kocha mpya tunapanic hivyo,na wakat angalau after msimu mmoja ndo tuanze kuongea.

Tim bado inajengwa,na leo ni matokea tu ya friend mech,tuvute subira,tuna kocha mzuri tu.
 
Back
Top Bottom