Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkitaka kuamini tuna wachezaji wa hovyo angalia perfomance ya wachezaji wapya eriksen na malacia kisha waliobaki ukitoa fred ndo mana wengine tunasema bado usajili haujatosha yale matakataka ndo mana Ralf alisema waje 10 wapya
Leo tutakuwanna beki Martinez. Maguire wanamuonea haya Gani. Angekuwa ana cover number 6 lkn Dah sipendi kabisa performance ya Maguire
 
Ninawasi, ten hag ana seek quick results na anajidanganya kwamba Ronaldo atamsaidia. I thought alipokuwa anasema inahitaji muda kufikia performance anayoitaka alikuwa ameishasettle his mind kwenye kikosi alichonacho.

sasa anaenda kuanza kazi mpya ya kumuingiza kirusi kwenye timu, wachezaji wote hawamtaki kirusi Ronaldo.
 
EtH anaanza kum-accomodate Ronaldo kikosini..mimi nipo hapa nikisubiri ani-prove wrong maana naona yanaenda kuwa yale yale ya msimu uliopita..timu kumchezesha tu Ronaldo,weak on pressing,poor marking and positioning na pia kushusha confidence ya wachezaji wengine.

Kina Sancho,Rashford na Martial wanaweza kila mmoja kupiga double digit goals kwenye EPL kama wataaminiwa but i'm not saying they are all good enough..na kama mpango wa kuachana na Mbinafsi Ronaldo ungekamilika tungekuwa na straika wa uhakika damu changa kama Lautaro Martinez.

/Lakini pia hivi si ilibidi hadi sasa tuwe na DM wa uhakika kikosini?..

/RB bado tunavuja japo Dalot pre-season hii swala la offensive amejiimarisha kiasi..ilibidi tumtoe AWB then tupate RB mwingine mwenye attributes zote nzuri ya diffensive na offensive

Anyway,ninywe tu bia nikisubiri baadae kuwaoga kina Savage na Iqbal wakikichafua pale katikati. Hopefull Martinez ataanza pia. But yule Mbinafsi na Mjaa Ego naskia pia ataanza,kitu ambacho kitanikera kweli.
 
EtH anaanza kum-accomodate Ronaldo kikosini..mimi nipo hapa nikisubiri ani-prove wrong maana naona yanaenda kuwa yale yale ya msimu uliopita..timu kumchezesha tu Ronaldo,weak ni pressing,poor marking and positioning na pia kushusha confidence ya wachezaji wengine.

Kina Sancho,Rashford na Martial wanaweza kila mmoja kupiga double digit goals kwenye EPL kama wataaminiwa but i'm not saying they are all good enough..na kama mpango wa kuachana na Mbinafsi Ronaldo ungekamilika tungekuwa na straika wa uhakika damu changa kama Lautaro Martinez.

/Lakini pia hivi si ilibidi hadi sasa tuwe na DM wa uhakika kikosini?..

/RB bado tunavuja japo Dalot pre-season hii swala la offensive amejiimarisha kiasi..ilibidi tumtoe AWB then tupate RB mwingine mwenye attributes zote nzuri ya diffensive na offensive.

Anyway,ninywe tu bia nikisubiri baadae kuwaoga kina Savage na Iqbal wakikichafua pale katikati. Hopefull Martinez ataanza pia. But yule Mbinafsi na Mjaa Ego naskia pia ataanza,kitu ambacho kitanikera kweli.
Anajiita king
 
Kama itatokea Man United watatwaa ubingwa wa ligi katika miaka mitano ijayo kwangu litakuwa jambo la kushangaza sana.
 
Manchester united. Vs Atletico Madrid ,

Imenikatisha tamaa Sana. ETH anawakati mgumu Sana kuijenga timu.

The likes of Rashford, Maguire, dalot, Marshal na Fernandez Wana performance ya kiduanzi Sana. Wakati mwingine wanawapa kazi kubwa wenzao.
Yani nililuwa na matumaini kidogo walau tutafanya jambo msimu ujao lakini baada ya kuangalia hiyo mechi, aisee EtH ana kazi ngumu sana.
 
Kama itatokea Man United watatwaa ubingwa wa ligi katika miaka mitano ijayo kwangu litakuwa jambo la kushangaza sana.
Does that mean kwamba Ten Hag sio chochote sio lolote..United itabaki kuwa ileile sio??
 
Wachezaji walio cheza jana naona hapa ni mmoja tu eriksen wengine naona wana pumzika
1659276662273.jpg
 
Does that mean kwamba Ten Hag sio chochote sio lolote..United itabaki kuwa ileile sio??
Atahitaji kufanya squad overhaul ili aweze kutengeneza timu imara anatakiwa kuachana na David De Gea.

Afumue safu ya ulinzi yote na afumue midfield yote.

Anatakiwa kutengeneza attacking trio nyingine ambayo iko serious na makombe.

Ana wachezaji wazembe sana ambao kwa modern football ni kama hawana cha kumpa.

Lakini inaonekana bodi ya Man united haiko serious na usajili katika timu yao ni kama wanajaribu kubahatisha bahatisha.

Kikosi alichonacho hakitaweza kupambana mpaka katikati ya ligi.

Ole aliokolewa na Bruno Fernandez angefukuzwa kabla ya 2021.

Je tutegemee nani mwingine wa kumuokoa Ten Hag.

Degea amekuwa consistent sana kufanya makosa kiasi kwamba anaigharimu timu kwenye hatua nyingi nyingi sana.

United kama wataingia top four msimu huu siyo kwa ubora wao ila kwa sababu timu nyingine tu hazitakuwa bora.

Angalia Arsenal msimu uliopita alifanya vizuri kuliko sisi lakini usajili amefanya mzuri kuliko sisi tena kwa kuziba maeneo muhimu waliyoonekana kupwaya.

United wanahitaji wachezaji watano muhimu kikosini kwao lakini msimu huu hakuna hata mmoja muhimu aliyesajiliwa ni kama wamesajili squad players .
 
Back
Top Bottom