Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wanangu hamna kikosi

Wenye akili watakau wamenielewa
Tuna kikosi kipana sana hafu kesho tuna game nyingine OT kwaiyo kocha anataka kila mchezaji acheze kwa muda mrefu ili tuwe fit kuwavaa Brighton jumapili.
 
Mwenye link ya game United tafadhali
 
Huyu Dogo Malacia naona anautumia upande wake vyema zile Pass ndefu ndefu penetration nimezipenda, zimesaidia kujua kua Tusipo sajiri sura mpya mbele (Forward) hatufiki popote Martial ubishoo tele, Trashford hasara tupu kila kitu anataka kupiga na hana accuracy, Ronaldo ndio hivyo katukera kwa kujiona yeye ndie mkubwa kuliko Timu.

Forward isajiliwe haraka tunahitaji Sura mpya ya Kazi na Uchu, hawa madogo wametosheka sana.
 
Kipindi cha kwanza kimeisha 0-0
Ila dakika 45 za kwanza mpira tuliocheza ni kama tupo Carrington kwenye mazoezi, tusubiri kipindi cha pili tuone itakuaje ila kiukweli mechi haivutii kabisa.
Kama na kwenye ligi tutacheza hivihivi basi tusijihesabie kupata mafanikio yoyote msimu huu.
 
Hapa viliumana uhuni wa MCtominay siuelewag kabsaa ELANGA nae akiguswa kidogo anajirusha mita 150 ili apewe foul....Fred nae kaanza miyeyusho...Rashidi kidgo anaupiga mwingi,Martial uyu kiumbe kapewa nini?anapiga vzur sema anakosa ukatili mbele ya goli tu...Captain Maguire nyiee ni balaa leo...bruno kashalishwa bangi haelewi ata anachocheza ...naona Martinez,Eriksen wanaingia 2HALF ngoja tuone ila hii ni yetu kabsaa

HT 0-0
Screenshot_20220730-152414.jpg
 
HT 0-0View attachment 2308829
Huwaga simpendi McTomminay kwa mafaulo yake na ubabe ubabe inatuweka hatari kulimwa red cards

Ivi huyo dogo hawezi focus kutoa mchango wa magoli kama aliyokua anatungua kipindi cha ole, like Leeds vs Man U, Man City vs Man U.

Mechi ile ya Leeds alionesha kazi nzuri ila now utafikiri amepotea.

Bruno asee! Dah sijui kawaje. Hao watu wanahitaji challenge kweli kweli.

Bruno
Martial
Trashford
Maguire
De gea

Wanahitaji kujua kuwa majukumu yao yanatelekezwaje, ngoja tuone Ericksen anaoffer kipi?
 
Kipindi cha kwanza wamecheza vizuri vijana, kipindi cha pili kocha amuweke Eriksen mapema kwenye base ya midfield ili tuongeze ubunifu zaidi wa kwenda mbele
 
Huwaga simpendi McTomminay kwa mafaulo yake na ubabe ubabe inatuweka hatari kulimwa red cards

Ivi huyo dogo hawezi focus kutoa mchango wa magoli kama aliyokua anatungua kipindi cha ole, like Leeds vs Man U, Man City vs Man U.

Mechi ile ya Leeds alionesha kazi nzuri ila now utafikiri amepotea.

Bruno asee! Dah sijui kawaje. Hao watu wanahitaji challenge kweli kweli.

Bruno
Martial
Trashford
Maguire
De gea

Wanahitaji kujua kuwa majukumu yao yanatelekezwaje, ngoja tuone Ericksen anaoffer kipi?
McTomminay hua nnamkubali kwa mashuti yake tu ya nje ya box.
Ila ana faulo za kijinga sana kisha analeta ubabe wake wa kipumbavu.
Masikitiko yangu makubwa ni pale mbele, kama ETH hataona umuhimu wa kusajili striker msimu huu basi tutapitia kwenye kipindi kigumu sana.
 
Kuna jambo moja linaniudhi sana unakuta Foul ya kawaida tu ila mtu anavyogalagala utafkr kakatwa mguu mbaya zaidi unakuta mpira ulikua ushafika lango la adui So unaamua kusimama...ivi awa wanaangaliaga game za Bundasliga hasa za bayern??

Jambo linalofanya bayern kumchukua mane nahisi moja ya sababu ni majeruhi yaani mpaka uje umuone mane injury ujue kaumia aswaa tena kaumia pakubwa tu ndo sasa wale kina Sengbe kwenye game zao unaweza kuona mtu kamkata rafu ila majamaa yanasonga tu...sasa ndomaana wakamvuta na mane kwenye fainali UCL kuna kiatu alipigwa na Carvajal nkasema uyu hanyanyuki ila mwamba akanyanyuka akaendelea kusakata kama kawa bayern inapenda sana wachezaji dizaini hii..

ila uku kina rashford,Elanga ukimgusa kidgo tu analala kusubiri atengewe foul Tabia inakera sana hii
 
wameregea wamekutana na wanaume hapa kazi haijaanza
 
Back
Top Bottom