Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,304
- 46,777
Ni timu gani imemtaka na sisi tukaigomea hiyo timu?Maana yake ni mkubwa kuliko timu yenu, hamuwezi afford kumpoteza, ndio maana mmechutama na kupiga magoti hamtaki aondoke
Ni timu gani imemtaka na sisi tukaigomea hiyo timu?Maana yake ni mkubwa kuliko timu yenu, hamuwezi afford kumpoteza, ndio maana mmechutama na kupiga magoti hamtaki aondoke
Huyu Jamaa nilihoji kwa nini tumng'ang'anie mtu aliyeomba kuondoka? Pia anashusha morale ya timu.Kijamaa ni kibinafsi sijapata kuona.
Pumbav zake..sitaki kumwona kabisa.
Hawa wachezaji timu zinawagwaya Kwa sababu ya tabia ya kugomea walimu wao.Bado wiki moja ligi ianze
Wan bisaka, shaw, rashford, martial, Fred, mactominay, cr7
Bado wanatambulika kama wachezaji wenu. HAMPO SERIOUS
Mashabiki wa timu zingine wanamkataa pia.Huyu fala pamoja na kumtetea sana humu ila safari hii ameamua kutuvua nguo kabisa hadharani, hichi anachotuonyesha ni ubinfsi wa hali ya juu sana.
Alivyo na akili mbovu timu karibia zote hazimtaki halafu yeye anaamua kunyea kambi.
Binafsi nimeanza kumchukia na hata akiamua kubaki sidhani kama atapata sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki.

siku ya kuponywa roho zetu imefika.

#Allypipi.#Siku ya furaha ni leo,Siku ya ku enjoy ni leo, ni leo, ndugu yangu furahi hata mimi na furahisiku ya kuponywa roho zetu imefika.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
Prediction
Manchester united 2 atletico Madrid 1
View attachment 2308488
Siku ya furaha ni leo,Siku ya ku enjoy ni leo, ni leo, ndugu yangu furahi hata mimi na furahisiku ya kuponywa roho zetu imefika.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
Prediction
Manchester united 2 atletico Madrid 1
View attachment 2308488
Saa saba mchanaHivi ni saa ngapi tunacheza mkuu
Sio saa 8 na dk 45 kweliSaa saba mchana
hiki ndo kikosi chake cha kwanza cha ligi
