raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,686
Inaonekana cr7 kutokuwa mazoezini alipewa ruhusa na 10hagEti,The king will play on Sunday..ushuuzi mtupu.
Inaonekana cr7 kutokuwa mazoezini alipewa ruhusa na 10hagEti,The king will play on Sunday..ushuuzi mtupu.
MUTV, kupitia Man Utd App pamoja na StarTimes decoder & StarTimes App.Hizi mechi zinaonyeshwa channel zipi WAKUU
Atahitaji kufanya squad overhaul ili aweze kutengeneza timu imara anatakiwa kuachana na David De Gea.Does that mean kwamba Ten Hag sio chochote sio lolote..United itabaki kuwa ileile sio??
Does that mean kwamba Ten Hag sio chochote sio lolote..United itabaki kuwa ileile sio??
"Lakini inaonekana bodi ya Man united haiko serious na usajili katika timu yao ni kama wanajaribu kubahatisha bahatisha."Atahitaji kufanya squad overhaul ili aweze kutengeneza timu imara anatakiwa kuachana na David De Gea.
Afumue safu ya ulinzi yote na afumue midfield yote.
Anatakiwa kutengeneza attacking trio nyingine ambayo iko serious na makombe.
Ana wachezaji wazembe sana ambao kwa modern football ni kama hawana cha kumpa.
Lakini inaonekana bodi ya Man united haiko serious na usajili katika timu yao ni kama wanajaribu kubahatisha bahatisha.
Kikosi alichonacho hakitaweza kupambana mpaka katikati ya ligi.
Ole aliokolewa na Bruno Fernandez angefukuzwa kabla ya 2021.
Je tutegemee nani mwingine wa kumuokoa Ten Hag.
Degea amekuwa consistent sana kufanya makosa kiasi kwamba anaigharimu timu kwenye hatua nyingi nyingi sana.
United kama wataingia top four msimu huu siyo kwa ubora wao ila kwa sababu timu nyingine tu hazitakuwa bora.
Angalia Arsenal msimu uliopita alifanya vizuri kuliko sisi lakini usajili amefanya mzuri kuliko sisi tena kwa kuziba maeneo muhimu waliyoonekana kupwaya.
United wanahitaji wachezaji watano muhimu kikosini kwao lakini msimu huu hakuna hata mmoja muhimu aliyesajiliwa ni kama wamesajili squad players .
Probably wanashindwa kufanya usajili mkubwa kwa kukosa imani na mwalimu."Lakini inaonekana bodi ya Man united haiko serious na usajili katika timu yao ni kama wanajaribu kubahatisha bahatisha."
Hapo ndiyo tatizo kubwa la United lilipo, shida kubwa inaanzia kwa wamiliki wao ndiyo walitengeneza mfumo wenye watu wasiojua mambo mengi kuhusu football. Watu hao ndiyo wakanunua wachezaji wengi wenye uwezo mdogo wengine wakaletwa kwasababu za kibiashara tu, wengine wala hayakuwa mahitaji ya makocha waliopita. Hayo yote ndiyo yametufikisha hapa tuna kikosi kimejaa majina tu. Hawa wachezaji ndiyo wanatutesa kwasababu hawauziki na hatuwezi kusajili bila kupunguza idadi ya wachezaji tulionao.
Na bado hiyo haitoshi wamiliki hawaweki pesa kwenye timu, wao wanachota tu faida. Msimu huu tumepata kocha mwenye malengo ya kueleweka lakini bado support ya wamiliki ni hamna kitu.
Hata hili la Ronaldo kubaki nina uhakika ni maelekezo kutoka juu, Ronaldo ni brand inayowasidia Glazers kutunisha mfuko. United siyo timu inayofanya cha maana uwanjani lakini bado inafamya vizuri kibiashara kwasababu ya akili wanayotumia Glazers kuliteka soko la mashabiki wa United.
Siku Glazers wakiondoka ndiyo itakuwa mwanzo mpya wa Manchester United. Mimi nimeshachoka kulaumu wachezaji, huu ndiyo uwezo wao walionao sisi tunataka wafanye kama thamani ya pesa tuliowanunulia ila hawa ni average players tukubali tu hali hilisi. Ila rebuild chini ya Glazers itakuwa ni kutwanga maji kwenye kinu.
Maneno ya Mourinho na Van Gaal yataishi milele.
duuEtH anaanza kum-accomodate Ronaldo kikosini..mimi nipo hapa nikisubiri ani-prove wrong maana naona yanaenda kuwa yale yale ya msimu uliopita..timu kumchezesha tu Ronaldo,weak on pressing,poor marking and positioning na pia kushusha confidence ya wachezaji wengine.
Kina Sancho,Rashford na Martial wanaweza kila mmoja kupiga double digit goals kwenye EPL kama wataaminiwa but i'm not saying they are all good enough..na kama mpango wa kuachana na Mbinafsi Ronaldo ungekamilika tungekuwa na straika wa uhakika damu changa kama Lautaro Martinez.
/Lakini pia hivi si ilibidi hadi sasa tuwe na DM wa uhakika kikosini?..
/RB bado tunavuja japo Dalot pre-season hii swala la offensive amejiimarisha kiasi..ilibidi tumtoe AWB then tupate RB mwingine mwenye attributes zote nzuri ya diffensive na offensive
Anyway,ninywe tu bia nikisubiri baadae kuwaoga kina Savage na Iqbal wakikichafua pale katikati. Hopefull Martinez ataanza pia. But yule Mbinafsi na Mjaa Ego naskia pia ataanza,kitu ambacho kitanikera kweli.