Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

moyes-out-2.jpg

teh teh teh teh teh
 
[h=5]David De Gea - The new Van Der Sar
[/h]Comment from one fan :

" I don't care what people say about Moyes, we wouldn't be doing any better under any manager. Ageing squad. Just break the bank for some decent players! "

I totally agree with this. We don't need new manager, it's not Moyes's fault we are playing bad. What we need is some decent players . We need to sign someone in January, we need a creative midfielder , someone to replace Vidic and Ferdinand , Evans and Smalling are not doing it right, we also need a left back , Evra 'gave his best' . For God's sake Woodward just sign someone!

You can agree, you can disagree but this is the truth
 
Fungie alikaa miaka mingapi old trashford bila kikombe .... .... .... .... ... Wacha ngebe ongelea timu yako ambayo share zake zinaporomoka kama uyoga Phew! Get a life nafahamu una huzuni lakini huzuni yako haiwezi kuifanya Gunners ishike mkia kwenye kinyang'anyiro cha EPL .... .... ... ... Washabiki halisi wa Manure wote wamekimbia umebaki wewe kuwangawanga tu baada ya kuja juzi tu hapa na historia yako ya Manure imeanza 1996 wakati prof ameingia Emirates fact. Another fact umeanza kushabikia Manure wakati wa wimbi kubwa la mashoga Fact.

Hii ni timu ile ile aliyoiacha Fungie hujiulizi kwa nini haishindi kama wakati wa Fungie? Fact Brown envelopes zilitawala. USILIE SANA MBU KAKWAMBIA UTAZOEA TU.

khe khe khe khe keh keh khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

8484998290_1fe75ac228_b.jpg

Cc: Wacha1
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo kwa sababu Mark na Steve walikuwa wachezaji na wana uzoefu wa ukocha ndo wapewe mikoba?

Sasa unaleta utani, hao na David kwenye ukocha nani mwenye angalau mafanikio ukiwalinganisha?!?

Mimi bado naona David anafaa, ni vigumu sana kuweza kufanya mara moja kile mtangulizi wako amekifanya katika miaka 27.

Ndio kwanza msimu wa kwanza hata haujaisha, lakini analaumiwa!! #Funny

Kuhusu mapato, ndio, yaweza kuwa na athari. Lakini brand ya #ManUnited ni kubwa mno kustamble ni couple of years to come. Hiyo ni kwa mujibu ya wachumi kwenye timu. Ina resources za kuweza kumudu financial crisis for sometimes.

Hivi unajua Liverpool pamoja na kuonekana kama wamepotea, wao ndio hadi sasa wenye the highest sponsorship deal kwenye EPL?!?

It is hard to wash away histories of some big clubs like #ManUnited such histories are pivotal in saving the club financially.....

It is terribly bad for the time being, but I wouldn't throw the towel now......

I am still very optimistic......

pep aliikuta bayern katika hali gani na sasa ipo katika hali gani? y DM?
 
David De Gea - The new Van Der Sar

Comment from one fan :

" I don't care what people say about Moyes, we wouldn't be doing any better under any manager. Ageing squad. Just break the bank for some decent players! "

I totally agree with this. We don't need new manager, it's not Moyes's fault we are playing bad. What we need is some decent players . We need to sign someone in January, we need a creative midfielder , someone to replace Vidic and Ferdinand , Evans and Smalling are not doing it right, we also need a left back , Evra 'gave his best' . For God's sake Woodward just sign someone!

You can agree, you can disagree but this is the truth
nakubaliana nae beki nzima za man u ni uozo pale ambae anapaswa kubaki ni rafael,fabio,,phil jones na vidic tu wengine wote uza. tena hata bure ikiwezekana
 
Let's meet at the Stadium of Light to face Sunderland in the 1st leg of Capital One Cup.

Then we meet Swansea City again on Saturday at OT in EPL game week 21.

Let's keep on supporting the team.
kaka hata kama kusoma jhujui picha pia huoni mimi man u mwenzako lakini huyu jamaa sio kabisa,angalia comment zake anavyojikanyaga ndio utaamini

moyes in july:I'll sign 3 players
Moyes at August : I won't panic Buy
Moyes at September : bought Fellaini in panic

Moyes at October : I don't have good squad 4 CL
Moyes at November : squad need to rebuild
Moyes at December : I will buy in January
Moyes at January : I will not buy in January
 
Hongera kwa kuijua timu vizuri kuliko mimi.

Inapaswa ujue kwamba hata Sir Alex ilimchukua muda kuanza kushinda makombe baada ya kuja Manchester utd iliyokuwa na historia kubwa uingereza. Alikuja 1986 alishinda kombe la FA 1990 na ligi kuu 1993, hivyo akaweza kutengeneza vikosi mbalimbali ambavyo viliweza kutwaa mataji mengi na kuifanya manchester utd kuwa timu yenye mashabiki wengi duniani, na timu inayovuta hisia za watu wengi (mashabiki wengi wa soka ni either wanashabikia manchester au wanaichukia manchester).

Hivyo kuvaa viatu vya SAF haiwezi kuwa walk in the park ndo maana hata wakina Guardiola waliogopa.

Huwezi kusema mashabiki wa Everton wanafurahia Moyes kuondoka na Martinez kuja. Wigan ya Martinez ingawa ilichukua FA msimu uliopita, pia ilishuka daraja na misimu kabla ilikuwa kwenye relegation dogfight na timu nyingine.

Moyes mwaka 2005 aliweza kumaliza top 4 akiwa na limited budget na liverpool ilimaliza ya 5.

Vile vile DM anategemewa kukaa muda mrefu kwenye timu tofauti na makocha aina ya mourinho.

Kwenye mechi ya mwisho ya nyumbani msimu uliopita Sir Alex alisema kwamba mashabiki wampe muda kocha anayekuja (DM) kama unaijua sana Manchester nadhani hilo unalikumbuka.

Moyes anaweza kuwa alikosea kubadilisha benchi la ufundi na kuja na watu wake, baada ya kuwaondoa wakina mike phelan, eric steele, renee maulesteen na wengineo. Pia anaweza kuwa alikosea katika usajili wa majira ya joto. Pia anaweza kuwa amekosea katika kufanya substitution katika baadhi ya mechi na hivyo kupelekea timu kufungwa lakini Manchester utd bado ina uwezo wa kuchukua ligi kuu (tunazidiwa pts 11 na anayeongoza, 2008/2009 scousers walituzidi pts 12 lakini bado tulichukua kombe. Vile vile timu bado ipo kwenye champions league na League Cup
yaani na wewe unna umoyes mwingi tu umekujaa mtu unataja mapungufu yake alafu still unasema anafaa mpira wa sasa hivi sio wa historia mkuu nakuhakikishia man u haiingii topfour kama hajafanya usajili acha hizo ndoto zako za kuchukua ubinggwa,panapoukweli tuseme,ferguson kweli alikaa miaka mitatu bila ya ubingwa lakini man u haikuwa timu kubwa by that time ilikuwa ni timu ya kawaida tu tofauti na sasa last term imetoka kuchukua ubingwa hw come safari hii tuwe nafasi ya saba??? haingii akilini hata kama tupo katika transition period lakini this is too much kocha ana mapungufu mengi ambayo yanamfanya asifit kuwa kocha sahihi wa man u,huo ndio ukweli mkuu na kuukataa ukweli ni sawa na kukimbia kivuli chako,na wewe umeona wapi benchi la ufundi linatimuliwa lote??? angalia barca,madrid,bayern,chelsea wamebadilsha kocha la kini benchi la ufundi lina baki kuna some element za klabu lanziam zienziwe huwezi ghafla tu ukafafanya upside down kiasikile alichofanya dm
 
Kwa hili tunakubaliana:Hapo kwenye blue; Sisi Chelsea tumemrudisha Mourinho, amekuja na Wasaidizi wake watatu. lakini kawakuta 3 wenyeji:
Licha ya kwamba Rui Faria(RF) na Louro wamewahi kufanya kazi Chelsea enzi zilee za 2004, lakini kulikuwa na umuhimu wa kubakisha wenyeji ili 'kubalance' timu. Ndo maana Steve Hollland msaidizi wa Di Matteo, pia msaidizi chini ya Benitez bado yupo..poleni sana Man Utd..hiki ni kipindi kigumu.:ear:
 
na hicho ndicho nilichokuwa nakimaanisha so bad kocha anaestahili kutimuliwa hatimuliwi. Alafu wale wasiostahili wanatimuliwa.
 
kaka hata kama kusoma jhujui picha pia huoni mimi man u mwenzako lakini huyu jamaa sio kabisa,angalia comment zake anavyojikanyaga ndio utaamini

moyes in july:I'll sign 3 players
Moyes at August : I won't panic Buy
Moyes at September : bought Fellaini in panic

Moyes at October : I don't have good squad 4 CL
Moyes at November : squad need to rebuild
Moyes at December : I will buy in January
Moyes at January : I will not buy in January

ImageUploadedByJamiiForums1389005029.077050.jpg

.......#WatazoeaTu
 
Hatujamsikia Robin Van Parsie siku nyingi isiwe naye kajiuwa tu??.?
Daniele De Rossi 'would have taken his own life' at Manchester United
• 'I would have committed suicide,' he says
• Reds moved too late to secure midfielder

BTW hivi mtu na akili zake timamu anathubutu kechema ati shares za Manure zinadondoka kwa sababu ya chuki? Shares zinauzwa kwenye open markert ... ... beggars belief! kweli mwenye chongo huona kengeza.
 
Back
Top Bottom