Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,477
Yaan Man City, Chelsea licha ya kufanya vizuri sokoni msimu uliopita. Sisi sasa daaah


Source zako za kipumbavu kama wewe.
Man u huwa inahusishwa na wachezaji wote duniani, huyo Tielemans atacheza wapi kwa sasa pale?
FredMan u huwa inahusishwa na wachezaji wote duniani, huyo Tielemans atacheza wapi kwa sasa pale?
kwenye nafasi yake kuna mtu kaja so ni swala mmla muda tu ila hao wengine wataanza tu na hakuna mbadalaMaguire vipi? Bora hao waanze sio Maguire
Fungua kichwa chako waweke sokoni wewe mwenyewe utajua thamani zao.Fred
Mactominay
Van de beek
Hao wote hawafikii uwezo tielemans
Hayo ni maoni yako sio fact we arsenane.
Kwa inavoelekea Maguire na Martinez ndio watakua First Choice, Maguire amechezeshwa kama beki wa Kati Kulia juzi, Martinez ni kati kushotio.kwenye nafasi yake kuna mtu kaja so ni swala mmla muda tu ila hao wengine wataanza tu na hakuna mbadala
Maguire ni beki wa kati kushoto na hiyo ndio primary # yake unless kocha afanye changes,Ila sio kitu cha ziada kutoka kwa Maguire.Kwa inavoelekea Maguire na Martinez ndio watakua First Choice, Maguire amechezeshwa kama beki wa Kati Kulia juzi, Martinez ni kati kushotio.
Pep ana laporte na alikuwa anamtaka Maguire, linapokuja suala la kutengeneza nafasi kwa mabeki hakuna kiumbe yoyote Epl anaemfikia Maguire.Maguire ni beki wa kati kushoto na hiyo ndio primary # yake unless kocha afanye changes,Ila sio kitu cha ziada kutoka kwa Maguire.