Wampe wachezaji anaowataka tu.
- Ole gunnar ni msimamizi wa mazoezi, shughuli zote za ukufunzi uwanja wa mazoezi zinafanywa na mckena, carrick na phelan
- ralf rangnick ni professor wa theory
- awamu hii wameletewa mwalimu aliyekamilika, show zote anazisimamia mwenyewe na ukileta uzembe anakukaripia au anakutukana iwe ni mazoezini au uwanjani, kwa mfano rejea clip ya degea mechi ya juzi, rejea clip ya zidane iqbal mazoezini hapo jana, rejea clip ya sancho mazoezini alipokuwa anachelewa kupiga pasi na rejea clip ya viwanja vya carrington aliposikika akibweka "too many mistakes".
sijui hawa mabwana wakubwa watakuja na kisingizio gani mwaka huu.
Mkuu shakwenya kwa neno kesho nilimaanisha kizazi kijacho na sio msimu ujao kama ulivyodhani.Aisee sijui mnaonaga mpira n mrahisi yaan hao madogo ndio wakacheze mid ya Manchester United msimu ujao alafu utoboe nafasi zajuu ...nipo nimekaa pale mtaniambia....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo uchezaji wake ni tofauti kabisa na wa mzee wake Robbie Savage niliyemshuhudia akichezea BlackBurn Rovers.Savage kama atakua monitored vzur dg atakuja kuwa bonge la holding especially akicheza n iqbal ambaye n box yo box mzur. James garner naona hana tofauti ya kiuchezaji n Jacob Ramsey au Antony Gordon n fundi n mtulivu sana.
EtH anatuma meseji kwa cr7 kuwa namba itagombaniwa kulingana na form ya mchezaji bila kuangalia jina.Anthony Martial is expected to lead #MUFC’s attack against Brighton on August 7, even if Cristiano Ronaldo returns to training.
#ChrisWheeler
#GGMU
manutd View attachment 2299843
SaaaafiEtH anatuma meseji kwa cr7 kuwa namba itagombaniwa kulingana na form ya mchezaji bila kuangalia jina.
mkuu hili tulishawahi kulijadili miaka miwili nyuma na nakumbuka kwenye huo mjadala tuliwazungumzia zaidi foden na greenwood kama wachezaji vijana,Mkuu safi sana kwa hili bandiko.
Hebu nipe mtizamo wako kwa kesho ya united chini ya hawa vijana katika eneo la kiungo kwenye mikono salama ya Erik Ten Hag.
1. Savage
2. Hannibal Mejbri
3. James Garner
4. Zidan Iqbal
hapana, sijioni kuwa na sifa ya uchambuzi wa mpira ila ni mzungumzaji wa mpira.Unajua kuchambua ball mzee
sidhani kama ally mayai, edo na huyo oscar nisiyemjua wamepanga foleni ya kuomba nafasi za usimamizi wa zoezi la sensa ila mimi nimeomba nafasi hizo.Ukute jamaa ni Ally Mayai au Oscar Oscar au Eddo Kumwembe![]()
Mm naona kwa £60 anthony tumchukue. Then de Jong tuchukue afu ukurasa tumalize na Benjamin pavard au striker yyte[James Ducker]
Erik ten Hag: United must strengthen attack to be successful
United are interested in signing Antony & his representative, Junior Pedroso, is understood to have been in Manchester this week,
although the Dutch club’s €80million (£68m) valuation has so far proven prohibitive.