Ndio sisi, na tutafika mbali Uropa kuliko wewe na arsenane yako.Hivi nyie ndo mlimaliza na goal difference (GD) 0 last season eeh?🤔
Maana nilikuwa nishasahau!
Niko palee..Ndio sisi, na tutafika mbali Uropa kuliko wewe na arsenane yako.
Tuliona mapema, tatizo ni moja tukiwa nae tukifocus kwake tu club as whole haifiki kokote maana nae yupo ukingoni.Leo nimewaelewa wale wote ambao hawamtaki Ronaldo japokuwa bado Ronaldo siyo tatizo ila simuoni aki-fit kwenye mfumo kocha atakaotumia.
Si mmchukue mpo YUEFA aka kiboko yenu.[emoji23][emoji23][emoji23]tuseme ukweli ,mnamkosesha heshima Ronaldo kucheza Europa,Hadi anawatafuta kina simeon ilimradi tu acheze CL[emoji23]
Mi Nina hamu ya kumuona yule mdenimark tuliemsajili kutoka Brentford jamaa anakipaji asiliaView attachment 2296488
View attachment 2296489
Ten Hag atakuja kuwaua hawa watoto, walishazoea kudekezwa[emoji28][emoji28]
Ten hag ameamua kuwa honest
Try the best with squad, win every game and success
Why? Because this is man u, that's y anakua na high expectations
Tuanze na cr7,
Kuna faida nyingi akistep aside kuliko awepo kwenye squad
Kwa umri wake, work rate ya pressing ni kujidanganya
New modern football inasema mtu wa kwanza kuanzisha mashambuliz ni goalkeeper na mtu wa kwanza kuanza ukabaji ni mshambuliaji.
Let us succeed or failed because of him
(Sijakataa msimu uliopita alisaidia sana, )
Cr7 kama player at the same time ni bussines/taasisi
Kind of player hav too much Ego, sometimes anafanya dressing room ijigawe.
Maguire
Huyu ubora wake utategemea midfielders, hakuna beki ambae akiletewa moto mara nne mfululizo asipoteane
Mkipata kiungo aina ya ngolo, partey au fernandinho kutakua na balance sana
Kuliko huyo dejong
Hakuna sehemu niliposema dejong hafai
Bruno mchezaji mzuri, so attacking force itakua poa
Elanga sijui bado hana utulivu au vipi, but ten had anaweza akamfanya awe best
Sancho pia ni best, tumemuona last season
Namba tisa, yan mshambuliaji hapa ndio tatizo lingine litaanza
Kama ya arsenal tunacheza mpira mfungaji hayupo. Dakika 90 game inaisha bila bila au tunapigwa kabisa
Na manunuzi ya CF muwe makini majirani
Nazani mnakiona kinachoendelea kwa Liverpool na Nunez wao[emoji16][emoji16]
Lisandro Martinez ni usajiri mzuri coz ata sisi tulimtaka ila pesa ndio imeamua. Siwezi kusema mmepigwa
Ila tahadhari ninayowapa ni kuwa akatumike kwenye nafasi yake
Wafuatao inabidi waondoke kwa kutaka au kwa lazima
Cr7
Cavan
Wanbisaka
Shaw
Mata
Martial
Umewaelewa ambao hawamtaki Ronaldo. Lakini yeye siyo tatizo. Ingawa ha fit kwenye mfumo wa ETH.Leo nimewaelewa wale wote ambao hawamtaki Ronaldo japokuwa bado Ronaldo siyo tatizo ila simuoni aki-fit kwenye mfumo kocha atakaotumia.
Kivipii Mkuu... Una manisha ninihii timu wasipocheza watu wawili Mctominay na rashford hatutateseka sana
Naona udhaifu mkubwa upo kwa hao wawili wakiwa wanaanzaKivipii Mkuu... Una manisha nini
Maguire vipi? Bora hao waanze sio MaguireNaona udhaifu mkubwa upo kwa hao wawili wakiwa wanaanza
Mmebakisha kuuza tu,Wazee, ETH kashamaliza kusajili au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna nyumbu anaeingia kwenye hii 11.
View attachment 2297535