Chatta g
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 627
- 1,007
Maguire na nafasi ten mkuuPep ana laporte na alikuwa anamtaka Maguire, linapokuja suala la kutengeneza nafasi kwa mabeki hakuna kiumbe yoyote Epl anaemfikia Maguire.
ETH requirement yake anataka Beki wa Kati kushoto atumie mguu wa kushoto, Maguire anatumia Kulia hivyo kuna uwezekano Mkubwa Martinez akaanza Kushoto, Varane naye Gari la mkaa.

, hell no,, Poor concentration
Poor making
Poor running
Hasa akiwa man u,, ila hili jamaa
Likiwa apo team ya taifa appreciate..


#MUFC
