Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani palipofikia Barca hawamtaki De Jong kuliko sisi tunavyomhitaji. Jamaa anawadai na bado wanataka aondoke kwa lazima yote ni kwasababu ya ukata uliopo Barca wanaimezea mate pesa ya United.

Barca na Madrid ni moja ya vilabu vya kishenzi kwa jinsi wanavyo-treat wachezaji wao.
 
Wameshakubaliana na Man u tayari
 
Kosi la dunia kila muchezaji analikataa, lishakuwa kosi la matakataka..Nani anataka kucheza Europa wewe..??
 
Achana na sisi wewe,tuache tufurahi japo kwa kidogo tulichonacho,yaani tufungwe tunune,tushinde tunune pia????kwendraaaaaaaa,

Kwanza tungefungwa hizo goli mngetuacha nyie???

Halaf acha kumfananisha ETH na vitu wa ajabu ajabu

Sawa sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] tufurahi pamoja[emoji1666] we are happy, happy so happy[emoji485][emoji485]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…