Nadhani mapungufu nayoyaona kwenye mitazamo yeni ni fikra zilizojikita kwenye dhana kwamba mpira ni wachezaji 11/22 ukiondoa red cards na dakika tisini ukiondoa muda wa nyongeza.
dhana hii ndio ileile inayoangalia timu yenye mabeki, mid fielders na strickers, ambayo sio ya msingi kiivyo.
mpira is alot of things, na Ronaldo amechangia alot of negative things kwenye timu msimu uliopita, hivyo aondoke zake.
1. Hata sasa, Ronaldo ni nani mpaka ahoji situation ya timu kusajiri? hivi hao wachezaji waliopo ambao wanacheza nafasi ambazo inasemekana inabidi waje wachezaji wengine wanamchukuliaje Ronaldo? kama mwenzao? Yaani hataki kucheza na wachezaji waliopo?
2. Ronaldo alipofika alitengeneza kakundi ka waongea kispanish kwenye timu?
3. Hako ka kundi kakaanzisha Propaganda za Ronaldo awe Captain? hivi mnaelewa madhara ya upuuzi wa namna hii? kwa timu nzima?
4. Uwanjani, from day one, akawa analazimisha lazima yeye ndio apige mipira golini, huu upuuzi ndio yule dogo mjelajela aliukataa wakakosana akaanza kumsemea dogo mbovu? mshenzi yule mipira yenyewe akipewa anapiga maboko, dakika 70 za mchezo kazi kujiangusha angusha na kulalamia wachezaji, marefa mpaka mashabiki.
5. eti top scorer, alifunga magoli 24 TUUUU, ANTONY MARTIAL MSIMU WA 20/21 ALIFUNGA MAGOLI 23 PIA. So huyo ronaldo hakuna jipya kwenye ufungaji alioleta pale uwanjani zaidi ya kulazimisha kuzuia watu wengine wote wasifunge.
kwa uchache, niko safari nikitulia ntarudia hapa kumtukana vibaya sana boya yule.