allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,328
- 10,933
Jiulize kwanini kabla ajaja ronaldo Fernandez alianza ligi wa moto sana mpaka mechi ya kwanza tu kapiga 3 kwanini aje ronaldo tu mambo yaanze kuyumba.
Sio kwamba atumpendi ronaldo ila tunaomba hatupishe tu kwasasa tutengeneze timu ya vijana wadogo.
Kama una mahaba na ronaldo hata uko haendako uta mshabikia tu usiwaze.
Maaba tuweke pembeni ronaldo hatufai.