Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Ukiona hivi mtu anatangazwa soon.Jersey naona zinaachiwa kesho japo mbogo zishafika wamechelewa kweli kenge hawa.View attachment 2277543
Ukiona hivi mtu anatangazwa soon.Jersey naona zinaachiwa kesho japo mbogo zishafika wamechelewa kweli kenge hawa.View attachment 2277543
Siyo kwa Spurs hii ya mwaka huu, misimu iloyopita Spurs walikuwa wanasajili average players na kuna kipindi walikaa muda bila kusajili.Spurs will find its way to be Spurs. Hawa hata wakimsajili Nani, sijawahi kuwa na wasiwasi nao
Arsenal inaonekana wamejipanga kutetea nafasi yao ya tanocomputerarsenal mbona makasiriko tena????
Hio ni prediction tu ya Pool Table hata wewe haukatazwi kufanya prediction yako.
Halafu hili ni jukwaa la watu wastaarabu na wanaojiheshimu matusi hayaruhusiwi ,
Ukijisikia kutukana nenda kule kwenye jukwaa lenu la watovu wa nidhamu.
Hahaha...Lads,It's spurs...Spurs will find its way to be Spurs. Hawa hata wakimsajili Nani, sijawahi kuwa na wasiwasi nao
Hili swala la kufikiri kwamba wachezaji wanaokuwa wazuri huko Spain hawawezi kucheza hapo EPL huwa naona ni ya kiduanzi tu na isiyo na mashiko kabisa.FDJ laini Sana ,yule kwa epl atajuta ,
man u mkumbuke sub Ni 5 msimu huu,
Kufika October mtakuwa mshaandamana kwa mmiliki wa timu ,hamna uvumilivu kabisa
Sitashangaa ETH asimalize msimu
overhypedJ. Grner anajua aisee
Acha mazoea.Spurs will find its way to be Spurs. Hawa hata wakimsajili Nani, sijawahi kuwa na wasiwasi nao
Issue hapo ni mwalimu. Konte ni Bonge la Kocha. Tulimuhitaji yeye!!Spurs will find its way to be Spurs. Hawa hata wakimsajili Nani, sijawahi kuwa na wasiwasi nao
Conte ana jambo lake msimu ujao. Sio kwa anavyokisuka kikosi chake kimyakimyaMsimu wa 2022/2023 utakua msimu mgumu sana na moja ya msimu bora kabisa kuwahi kutokea EPL.
Hawa top 6 aisee wamejipanga sana, vita ni kali mno. Kuna bomu anasuka Conte pale Totte
Huyu hawezi pata namba hata burnley
Mbona mapema hv aisee sisi hatutaki kusajiri banaNaona tumetoa ukata aise.View attachment 2278548
Meza Inapinduka Tu...Pesa Ndo Inaongeamtaalamu david ornstein anasema manchester united wapo kwenye mazungumzo na ajax juu ya usajili wa martinez. huyu bwana mkubwa pia anagombaniwa vilivyo na arsenal. je tutapindua tena meza?

Hata Martial Kipindi Anasajaliwa Man United Maneno Yaliwatoka Mengi Sana Ya Kumdharau Matokeo Yake Msimu Ule Ule Alichokifanya Aliwaprove Wrong, ile Mechi Yake Ya Kwanza Dhidi Ya Liverpool Pale Old Trafford Nadhani Wakumbuka Vizuri Lile Goli LakeHuyu hawezi pata namba hata burnley

martinez kwa ajili ya magurie au mctominay ? inamana antony ndo basi tenamtaalamu david ornstein anasema manchester united wapo kwenye mazungumzo na ajax juu ya usajili wa martinez. huyu bwana mkubwa pia anagombaniwa vilivyo na arsenal. je tutapindua tena meza?
anacheza CB na DM. kuhusu antony ugumu upo kwenye bei ya kuuzwa kwakemartinez kwa ajili ya magurie au mctominay ? inamana antony ndo basi tena