D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Kwa mujibu wa david ornstein: jorge mendez ambaye ni wakala wa ronaldo alikutana na kufanya mazungumzo na mmiliki mpya wa chelsea. Miongoni mwa ajenda walizozungumza ni mustakabali wa ronaldo. Haijajulikana chelsea watarespond vipi juu ya pendekezo hilo.



#AFC 

