D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
bado hatujawa na usawa wa kikosi licha ya kuondoka kwa hao wachezaji 6 uliowataja, changamoto kubwa tulionayo ni kuwa na kundi kubwa la wachezaji wenye taathira ndogo sana ya kiuchezaji jambo linalopelekea kuwa frustrated.Kuna gepuu kubwa kwenye kikosi wameondoka wachezaji karibu wa 6
Cavan
Mata
Lingard
Pogba
Matic
Greenwood
Apa kwa haraka ili kubalance kikosi atleast tusajili wachezaji 4 d
Ili depth ya kikosi iwe sawa..ukumbuke tuna Europa League na Premier League michuano yote tunatafuta nafasi nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
licha ya kuondoka kwa hao wachezaji walioishiwa mikataba yao lakini bado tunao wachezaji hawa wa kikosi cha kwanza waliotolewa mkopo, bahati mbaya sana hakuna mwenye uwezo wa kufikia matarajio yetu ndio maana tunawaza usajili.
facundo pellistri + amad + anthony martial + tuanzebe + james garner +tahit chong + teden mengi + levitt
