Kama tutasajili basi tupate targets zote tulizozitaka siyo tunachelewa na bado tunatoka kapa.Kelvin Philips huyo Etihad,Haaland ni done deal..then na sisi tunajikuta tunataka kuwa contenders coming season..huu ni utani..hata top 4 sidhani kama tutapata.
Na usajili huu zaidi ya de jong msitegeme mwengineKama tutasajili basi tupate targets zote tulizozitaka siyo tunachelewa na bado tunatoka kapa.
Arsenal nao washafanya yao sisi tupo tu.
me nahisi aliambiwa kabisa we chukua mkataba na uendelee na hayahaya matakataka mambo memngine kausha yale tunayoskia alikuwa masharti yake ni maneno tuKocha mwenyewe alishasema kikosi chetu kipo vizuri sababu kilimaliza nafasi ya 2 kwa hiyo tusitegemee usajili wa kutisha sana,wakati target zake zenyewe zikiwa ni wachezaji wa AJAX.Hapa tusubiri akiwabadilisha kina Rashford na kina Elanga kuwa kama Mbappe na Neymar,tunaweza kusajili wachezaji watatu naona kwa bajeti yetu msimu huu
Mbona hamueleweki? Man UTD si mnasema hamtaki waingereza?? Kwa hiyo Phillips kwenda Etihad Sasa hivi mnaona wivu???Aliekuwa target ya Man Utd kwa kipindi kirefu, Kalvin Phillips hatimae amesajiliwa na Man City![]()
Mlisema hamuwataki waingereza Kwa kujisahaulisha timu ilipiganiwa na haohao waingereza na kujisemesha zama zimebadirika,Mbona wivu Sasa Kwa jirani Kwa Phillips kusajiriwaKelvin Philips huyo Etihad,Haaland ni done deal..then na sisi tunajikuta tunataka kuwa contenders coming season..huu ni utani..hata top 4 sidhani kama tutapata.

Tunahitaji misimu isiyopungua miwili kujisoma tupo wapi,hata tukibadili timu nzima ni uongo kujipa moyo kwamba msimu ujao tutakua contenders,TUWE WAVUMILIVU,shida ya Man u ndo hii,huwa tunajipa matumaini saana ndo maana tunaumia na tunajikuta tunanunua kwa presha kama wakina Sanchez,pogba n.kKelvin Philips huyo Etihad,Haaland ni done deal..then na sisi tunajikuta tunataka kuwa contenders coming season..huu ni utani..hata top 4 sidhani kama tutapata.
Kilimaliza nafasi ya pili ipiKocha mwenyewe alishasema kikosi chetu kipo vizuri sababu kilimaliza nafasi ya 2 kwa hiyo tusitegemee usajili wa kutisha sana,wakati target zake zenyewe zikiwa ni wachezaji wa AJAX.Hapa tusubiri akiwabadilisha kina Rashford na kina Elanga kuwa kama Mbappe na Neymar,tunaweza kusajili wachezaji watatu naona kwa bajeti yetu msimu huu


au unazungumzia man utd ya morihnoRice ni overpriced wa kazi gani sisi? 1000% Rice hawezi kusajiliwa United.Mbona hamueleweki? Man UTD si mnasema hamtaki waingereza?? Kwa hiyo Phillips kwenda Etihad Sasa hivi mnaona wivu???
Na bado Rice huenda akaenda darajani,halafu muanze kuongea sana.
Wewe nenda kajiongeleshe kwenye uzi wenu kule.Kilimaliza nafasi ya pili ipiau unazungumzia man utd ya morihno
mpango wa kumsajili kelphin phillips ulishasitishwa tokea mwishoni mwa mwezi may, upinzani wa jadi uliopo dhidi ya leeds umekuwa chanzo kikuu kwa kalphin kujiweka mbali na ofa ya manchester united. Lakini swali linakuja mbona leeds united waliuziwa daniel james kutoka manchester united.Aliekuwa target ya Man Utd kwa kipindi kirefu, Kalvin Phillips hatimae amesajiliwa na Man City😆
Alan smith, Rio ferdinand, Eric Cantona, Dani James, Borthwick Jackson etc.mpango wa kumsajili kelphin phillips ulishasitishwa tokea mwishoni mwa mwezi may, upinzani wa jadi uliopo dhidi ya leeds umekuwa chanzo kikuu kwa kalphin kujiweka mbali na ofa ya manchester united. Lakini swali linakuja mbona leeds united waliuziwa daniel james kutoka manchester united.
nakubaliana na mtazamo wako, nyuma ya pazia upo uwezekano mkubwa wa ten hag kusitisha mchakato wa kusajiliwa kwa phillips ambaye alishalengwa na scouts.Alan smith, Rio ferdinand, Eric Cantona, Dani James, Borthwick Jackson etc.
Philips ni Type za Kina RR sidhani kama ETH ana Time naye.