Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Japo umri umesogea ila Eriksen anafaa sanaa pale brentford hakosi namba na anaubonda mwingii sana pale kati..DJ ETH mletee ERIKSEN
20220503_100320.jpg
 
Huyu akija Manchester anacheza wap? au ni kuongeza squad depth

Sent using Jamii Forums mobile app
Anacheza CAM, squad depth pia ni muhimu eneo hilo. Eriksen ni mkali zaidi ya Bruno kwenye playmaker role lakini itakuwa ni ngumu sana yeye kuanza kila mechi. EPL mechi 38, Europa mechi 6 group stage + 8 knockout stage, FA Cup & League Cup. Mechi ni nyingi sana lazima kuwe na rotation ili ku-compete kila mashindano.
 
ameandika james ducker (tier 1 kwa habari za manchester united)

  1. Manchester United have held talks over a potential move for the Ajax forward Antony but are waiting for a breakthrough in negotiations with Barcelona for Frenkie de Jong before advancing other deals.
  2. New United manager Ten Hag wants quality competition for Cristiano Ronaldo, Jadon Sancho, Marcus Rashford and Anthony Elanga in attack and Antony, who offers pace, creativity and a goalscoring threat, is most at home on the right flank, what for years has been a problem area for United. The ongoing situation with Mason Greenwood has been another complicating factor in United’s plans.
  3. The first wave of United players will start to report back for pre-season from Monday, including Rashford, but those who were involved in international matches this month are not due back until shortly before the squad fly to Bangkok.
  4. Ten Hag would like up to five signings, depending on how far United can stretch their budget, with the club also interested in a right back and a centre half. United are willing to listen to offers for the likes of Aaron Wan-Bissaka, Phil Jones and Eric Bailly.
 
Chief-Mkwawa Daemushin

Huyu Anthony anatufaa?..

Mimi naona Yes ataongeza depth sana..

But maeneo yetu ya msingi ya DM,RB,No9,CB ni lazima tuyama
Issue mkuu ETH ana mifumo mingi kama anatumia False 9 bila Striker maalum anatufaa sana Tu maana wanaweza cheza wote yeye, Sancho na mwengine kama Rashford, ila kama tunacheza Traditional 4231 na Ronaldo mbele basi lazma mtu akae benchi.

Itategemea na Bei.

Na nafikiri De jong ndio DM wetu, akija De jong na Eriksen sidhani kama Atakuja mwengine.
 
De Jong hawezi kusimama kama DM na sijawahi kumuona akicheza hivyo.

Pale Ajax alikuwa akicheza na Schone na VDB mid 3 huku Frenkie akicheza kama CM na Schone akicheza kama DM.

Barcelona anacheza na Sergio Bosquets na yeye anacheza kama CM.

Hapo United DM atakuja kucheza nani ???

Hili timu ni muda wa kuacha kuliangalia litatuua hili tusipokuwa makini.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Schone hakucheza Nyuma ya FDJ Ajax alikuwa mbele ya FDJ, De jong ni regista kama Pirlo, Alonso, Carrick etc

Regista Hakabi na kufanya Tackling kama DM wa kawaida ila anakaa Deep kabisa

Hizi ni screenshot nimezitoa jukwaa la Man U reddit za Average position Ajax mechi zote mbili za Madrid na Juve
4dmbxdeg02791.jpg

lvmndlgf02791.jpg
jptk9ds802791.jpg
m5miear702791.jpg

Screenshot zote zinaonesha FDJ anacheza deep kuliko schone Fdj ni namba 21 na schone 20. Juzi hapa baada ya mechi uholanzi alimcriticise xavi kwamba yeye anapenda kuwa wa kwanza kupokea Mpira kutoka kwa mabeki na akicheza juu quality zake hazionekani.

Pia Pirlo alikuwa hivi hivi Juve, anakaa deep kabisa japo yeye sio mkabaji na mbele yake kunakua na Pogba, Marchisio na Vidal.
 
Schone hakucheza Nyuma ya FDJ Ajax alikuwa mbele ya FDJ, De jong ni regista kama Pirlo, Alonso, Carrick etc

Regista Hakabi na kufanya Tackling kama DM wa kawaida ila anakaa Deep kabisa

Hizi ni screenshot nimezitoa jukwaa la Man U reddit za Average position Ajax mechi zote mbili za Madrid na Juve
View attachment 2269091

View attachment 2269092View attachment 2269093View attachment 2269094
Screenshot zote zinaonesha FDJ anacheza deep kuliko schone Fdj ni namba 21 na schone 20. Juzi hapa baada ya mechi uholanzi alimcriticise xavi kwamba yeye anapenda kuwa wa kwanza kupokea Mpira kutoka kwa mabeki na akicheza juu quality zake hazionekani.

Pia Pirlo alikuwa hivi hivi Juve, anakaa deep kabisa japo yeye sio mkabaji na mbele yake kunakua na Pogba, Marchisio na Vidal.
Kwangu de jong namuona ni aina ya bruno na Fernandez ambao wote tunao labda kama anakuja tu kuongeza uwingi wa wachezaji kwangu Fernandez ni bora kuliko de jong sisi naona tunaitaji sana defensive midfielder kuliko kitu chochote pale OT.
 
De jong hachezi 10, sio kama Fernandez, Kipindi wanacheza ajax Van De Beek ndio alikuwa anacheza mbele kama kiungo mshabuliaji, na FDJ alikuwa nyuma.

Kwa sisi man U hatukuwa tukicheza na Regista ndio maana unaona kwetu idea ya regista si kubwa.

Ila angalia majirani zetu Chelsea Kante anacheza na Jorginho, huyu Jorginho si mkabaji ila anakaa Nyuma, Mount ama Havertz anakuwa mbele.

Sasa fikiria Mount kama Bruno na FDJ kama Jorginho.

Linabaki sasa swali la mwisho nani atakuwa kante wetu? patner wa FDJ ambaye atamkabia? Fred ama DM mpya?.
 
kwa mwendo tunaokwenda nao bila ya shaka scott mctominay ndiye atakayecheza kwa sababu fred hayupo comfortable kutokea upande wa kulia
tukumbuke frankie de jong anacheza zaidi upande wa kushoto.
mpaka muda hakuna tetesi yeyote ya kusajili kiungo wa kati wa asili zaidi ya frankie de jong.

tumempotezea vitinha, palhinha, enzo fernandez, bissouma, ruben nevez

jicho langu linaniambia tunalazimishwa tuwe na kiungo muingereza hapo chini, kuna uwezekano msimu ujao zikaelekezwa nguvu kwa jude belingham au declan rice.
 
Kwangu de jong namuona ni aina ya bruno na Fernandez ambao wote tunao labda kama anakuja tu kuongeza uwingi wa wachezaji kwangu Fernandez ni bora kuliko de jong sisi naona tunaitaji sana defensive midfielder kuliko kitu chochote pale OT.
nafasi anayocheza frankie de jong sidhani kama bruno fernandez anaweza kucheza kwa ufasaha hata kama utamuahidi mshahara wa paundi millioni 1 kwa wiki.

kwangu mimi frankie de jong ni level ya thiago alcantara na marco verratti.

thiago anacheza na fabinho
verratti anacheza na gueye, paredes au herrera
 
kwa mwendo tunaokwenda nao bila ya shaka scott mctominay ndiye atakayecheza kwa sababu fred hayupo comfortable kutokea upande wa kulia
tukumbuke frankie de jong anacheza zaidi upande wa kushoto.
mpaka muda hakuna tetesi yeyote ya kusajili kiungo wa kati wa asili zaidi ya frankie de jong.

tumempotezea vitinha, palhinha, enzo fernandez, bissouma, ruben nevez

jicho langu linaniambia tunalazimishwa tuwe na kiungo muingereza hapo chini, kuna uwezekano msimu ujao zikaelekezwa nguvu kwa jude belingham au declan rice.
Hili nalo neno mkuu, FDJ anacheza kushoto, McTominay uchezaji wake ni kama FDJ aliechoka, same type of players, maybe Tutacheza Diamond ili ku wa Accomodate wote FDJ na Fred. Ngumu sana kujua Huyu kocha anaplan nini. Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom