Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

20220621_012206.jpg
 
Sky sport,sancho kulia,tony kushoto,vipi kuhusu elanga,martial,rashford???itajulikana tu
Screenshot_20220621-110714_Twitter.jpg
 
Sky sport,sancho kulia,tony kushoto,vipi kuhusu elanga,martial,rashford???itajulikana tuView attachment 2267378
Antony preferred foot ni left, akikaa RW ndiyo itafaa zaidi, kwa winger anayetokea kulia ukiacha kumwaga maji kama anaingia ndani ya box mguu wa kushoto ndiyo unahitajika kuwa na nguvu zaidi. Ila kocha ndiyo anajua zaidi atamtumia vipi cha muhimu wachezaji wapangwe kulingana na uwezo. Squad depth ni muhimu, Rashford na Elanga wabaki, Martial auzwe akikosa timu atolewe kwa mkopo + buy option. Amad atolewe kwa mkopo Championship + United walipe full salary, Pellistri abaki.
 
Kuna taarifa kuwa hataki kuj Man UView attachment 2267421
Ukisikiliza Realiable source mkuu inapunguza sana stress. Hao Goal hawana issue kabisa.

Jana reporter mbalimbali wali report Spurs hawamo kwenye mbio za kumsajili Eriksen, hata inter Conte na Eriksen hazikuenda sana, sana sana Alichezeshwa tu Pembeni.

Leo Simon Stone amereport Man U wapo kwenye mbio, kuna Possibility kubwa Akaja kwetu.

 
Ukisikiliza Realiable source mkuu inapunguza sana stress. Hao Goal hawana issue kabisa.

Jana reporter mbalimbali wali report Spurs hawamo kwenye mbio za kumsajili Eriksen, hata inter Conte na Eriksen hazikuenda sana, sana sana Alichezeshwa tu Pembeni.

Leo Simon Stone amereport Man U wapo kwenye mbio, kuna Possibility kubwa Akaja kwetu.

Eric na FDJ ni uhakika 100%
 
Huyu akija Manchester anacheza wap? au ni kuongeza squad depth

Sent using Jamii Forums mobile app
Anacheza CAM, squad depth pia ni muhimu eneo hilo. Eriksen ni mkali zaidi ya Bruno kwenye playmaker role lakini itakuwa ni ngumu sana yeye kuanza kila mechi. EPL mechi 38, Europa mechi 6 group stage + 8 knockout stage, FA Cup & League Cup. Mechi ni nyingi sana lazima kuwe na rotation ili ku-compete kila mashindano.
 
ameandika james ducker (tier 1 kwa habari za manchester united)

  1. Manchester United have held talks over a potential move for the Ajax forward Antony but are waiting for a breakthrough in negotiations with Barcelona for Frenkie de Jong before advancing other deals.
  2. New United manager Ten Hag wants quality competition for Cristiano Ronaldo, Jadon Sancho, Marcus Rashford and Anthony Elanga in attack and Antony, who offers pace, creativity and a goalscoring threat, is most at home on the right flank, what for years has been a problem area for United. The ongoing situation with Mason Greenwood has been another complicating factor in United’s plans.
  3. The first wave of United players will start to report back for pre-season from Monday, including Rashford, but those who were involved in international matches this month are not due back until shortly before the squad fly to Bangkok.
  4. Ten Hag would like up to five signings, depending on how far United can stretch their budget, with the club also interested in a right back and a centre half. United are willing to listen to offers for the likes of Aaron Wan-Bissaka, Phil Jones and Eric Bailly.
 
Back
Top Bottom