John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
DefinitelyNi Lukaku mweupe sio?

DefinitelyNi Lukaku mweupe sio?

Niko hi mkuu timu ndio kichefu chefu
Kaka nakuelewa sn na inaonekana timu ubaijua mda mrefu sn naona mashabiki wengi wamekalia ushabiki kuliko uhalisiaMkuu Issue ya Alvarez ilikuwa nje ya Uwezo wetu, Man City wanamtangaza Leo Alvarez haikuchukua Siku nyingi yule Pimbi Greenwood anafanya yake.
Kwa Greenwood tulikuwa Tayari tuna future Top striker tunamkuza Taratibu, ndio maana Hatukuwa na Umuhimu wa kutafuta Striker wakati una Ronaldo, Cavani na Greenwood.
Pia mimi naungana na ETH, kikosi chetu si kibaya kama watu wanavyotaka kutuaminisha, yazibwe tu Mapengo, priority iwe midfielder, Board ikinunua Midfielder 2 za kazi, beki wa pembeni, na Backup striker Tunaanza vizuri tu Msimu wetu, then kuanzia hapo ndio tutajua mbivu na mbichi, ambaye hatajituma na kumsikiliza mwalimu safari yake ndio itaishia hapo.
Utd wamekosa mazoez ya maana na ndio mana hata ralf alisema wanshindwa mudu pressing na ndio mana th amesema ataanza nao mapema zaid kabla ya wiki 2ya ratiba kamili hivo sina shaka kuwa watacopy tuHii timu kocha mpya akija anaona inahitaji marekebisho machache hata RR alisema hivyo lakini baada ya kufundisha ndio akajua kuwa kazi iliyopo ni ngumu sana na the way wachezaji walivyokuwa wancheza msimu uliopita kocha alikuwa sahihi kusema timu inahitaji kununua wachezaji wengi na kibaya zaidi ni kuwa tayari our main competitors(Liverpool & City) wako kwenye peak.Vikosi vyao vimeshakamilika na still wanaendelea kuboresha
Mpira wa sasa hela ndo inaongea.Utd inahitaji wachezaji wanne had watano kwa msimu huu na nawapongeza sn mabos wapya wa sasa wako makin sn kutoa hela mana wanajua jins tulivyoumizwa huko nyuma
Mchezaji kama nunez mwache aende liverpool sbb liverpool wanahitaji mchezaji mmoja tu au wawili kwa kikos chao hivo kutoa hela kama ile kwa nunez wala sio shida kwao sbb tayar kikos chao kimeshehen
Hata hivo kiuhalisia nunez sio wa bei hio na hapo ndo naisifu bod ya utd ya sasa
Kipaumbele na mido ndio mana wamekomaa na fdj na neves wa wolves
Sasa hebu jiulize kama unajua mpira kweli kama ukifanikiwa kuwapata nees na fdj nini kitatokea pale utd chin ya th
Kocha anajua anachokifanya na mm sina shaka na jamaa katika kufundisha suala la msingi tusijipe mategemeo makubwa sn msimu sbb kwanza jamaa ndo anaanza
Utd bado wana option nyingi tu zinazoweza patikana na wakafanya vizur hivo ss kama mashabiki tupunguze mihemheko na ujuaji mwingi
Liverpool kwanza walikua hawana namna mana washaona haland katua city ww ulitegemea wasilipe ile hela?
Timu ya usajili ya man u ipo makin sn hio ni sbb ya makosa yaliofanyika huko nyuma na ninawapongeza sn kwa hilo mana mashabiki kindakindaki wa utd wanajua kuwa timu ilitakiwa kujengwa kama hivi tunavyokwenda sasa na kocha apewe mamlaka kamiki na kocha apendekeze wachezaji mwenyewe sio kama muun edwood alivyokuwa anafanya
Timu ya usajili ya Man United haiko makini tusidanganyane mkuu.Utd inahitaji wachezaji wanne had watano kwa msimu huu na nawapongeza sn mabos wapya wa sasa wako makin sn kutoa hela mana wanajua jins tulivyoumizwa huko nyuma
Mchezaji kama nunez mwache aende liverpool sbb liverpool wanahitaji mchezaji mmoja tu au wawili kwa kikos chao hivo kutoa hela kama ile kwa nunez wala sio shida kwao sbb tayar kikos chao kimeshehen
Hata hivo kiuhalisia nunez sio wa bei hio na hapo ndo naisifu bod ya utd ya sasa
Kipaumbele na mido ndio mana wamekomaa na fdj na neves wa wolves
Sasa hebu jiulize kama unajua mpira kweli kama ukifanikiwa kuwapata nees na fdj nini kitatokea pale utd chin ya th
Kocha anajua anachokifanya na mm sina shaka na jamaa katika kufundisha suala la msingi tusijipe mategemeo makubwa sn msimu sbb kwanza jamaa ndo anaanza
Utd bado wana option nyingi tu zinazoweza patikana na wakafanya vizur hivo ss kama mashabiki tupunguze mihemheko na ujuaji mwingi
Liverpool kwanza walikua hawana namna mana washaona haland katua city ww ulitegemea wasilipe ile hela?
Timu ya usajili ya man u ipo makin sn hio ni sbb ya makosa yaliofanyika huko nyuma na ninawapongeza sn kwa hilo mana mashabiki kindakindaki wa utd wanajua kuwa timu ilitakiwa kujengwa kama hivi tunavyokwenda sasa na kocha apewe mamlaka kamiki na kocha apendekeze wachezaji mwenyewe sio kama muun edwood alivyokuwa anafanya
This is very true ukiangalia miaka ya mwanzoni mwa 2000 mchezaji anayeuzwa 80 au 60 ni proven player yaan anaenda kudeliver 100%Mpira wa sasa hela ndo inaongea.
Wachezaji kuuzwa juu ya €100M utaanza kuona kawaida.
Man Utd ibadilike, itoe mpunga watu wafanye kazi.
Nina uhakika ETH anatafuta cheaper options maana watu wa uhakika huwezi wapata kwa hela ya mbuzi.
Mpira wa sasa hela ndo inaongea.
Wachezaji kuuzwa juu ya €100M utaanza kuona kawaida.
Man Utd ibadilike, itoe mpunga watu wafanye kazi.
Nina uhakika ETH anatafuta cheaper options maana watu wa uhakika huwezi wapata kwa hela ya mbuzi.
Liverpool na ubahili wao wote wamemwaga £80million + £20 mill kalibia £100 million Kwa Darwin 😅😅😅...!
Siku hizi hakuna mchezaji cheap ,labda ukanunue wachezaji wa mafungu kama wa arsenal,pepe,sijui ordegard ....
Ibadilike vp msimu uliopita tumesajili Sancho kwa pesa ndefu varane na Ronaldo....sasa ww unataka itoepesa kias gan au unataka tuwe kama PSGMpira wa sasa hela ndo inaongea.
Wachezaji kuuzwa juu ya €100M utaanza kuona kawaida.
Man Utd ibadilike, itoe mpunga watu wafanye kazi.
Nina uhakika ETH anatafuta cheaper options maana watu wa uhakika huwezi wapata kwa hela ya mbuzi.
Ni kweli kabisa carlo ni bonge la manager huwezi fananisha na mapimbi wengine.Everton imemshinda? Angalia alivyoondoka Timu ilikuwa inashuka Daraja, msimu uliopita Everton walikuwa nafasi ya 10 wakiwa na 59 ambazo ni point 2 tu Nyuma ya Arsenal na Point 3 Nyuma ya spurs na Point 8 waingie Top 4. Ila msimu huu chupu chupu washuke Daraja, Unapata wapi Guts za kusema Alifanya Vibaya?.
Everton kwa misimu kama 5 wanasajili tu Attacking midfielder, wanaweza fika hata 8 wote wanacheza position moja, na jamaa kaimudu timu.
Na kocha yeyote wa system hawezi kufanya Vizuri na kundi la wachezaji tu, Nikukumbushe tu msimu wa kwanza Klop kamaliza nafasi ya 8,
Kuwa mpoleeKocha alisema anatamani mpaka pre season inaanza awe kapata wachezaji anaowataka ila mpaka leo hamna hata mmoja aliekuja na zimebaki wiki 2 sijui.
sasa kama de jong hadi leo hawajamchukua hao wengine itakuwaje?? tusishangae tukaanza msimu bado tunapambana na mchezaji mmoja.
Liver kaingilia dili letu hata wiki haijaisha washabeba tunasema hatuna haraka hahha okay wacha tuone ila binafsi sielewi wanataka kusajili nini mpaka sasa.
Usishangae akija Eriksen badala ya de jong timu hii usifatilie usajali utapata maumivu