Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,740
Mbona Carlo wachezaji wa Everton wamemshinda ,kaenda kutoboa na MadridIla Timu ya Taifa unaita wachezaji unaotaka, wakati club unakuta wachezaji unaopewa.
RR ni kama Pep ama Klop, ni system Coach, mpaka awe na specific players ku implement system yake, hivyo pae UTD si kwamba wachezaji ni wabovu its just Hawafit mfumo wake.
Then kuna makocha design ya Ancelloti ye mpe tu kundi la watu anapanga mnacheza Hataki makuu.
,wechezaji wa united wanauwezo ila ni wavivu ,hawajitumi ,hawana morali ya kuipambania jezi ya united ....mbaya zaidi wao wanajiona ni wakubwa kuliko kocha yeyote ,hivyo kupuuza maelekezo ya mwalimu inakuwa simple na wanajua hakuna mtu wa kuwagusa ....over 

Siku akija kocha ambaye atakuwa na sauti na kuweza kuamua kuwa mtu flani haendani na system yangu akae pembeni bila kujali sijui academy,au sukali ya uingereza,ndio timu itanyooka ...
Leo hii hata rashford afanye vibaya hawezi tolewa pale united ,ni sukari ya hapo OT ,ni Bora kocha aondoke kuliko rashford kuondoka ..
Sasa hii ni timu au utopolo ...