D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
upo sahihi, hiyo page pia naifuatiliaKama unatumia Twitter pitia page ya @centredevils kila habari wana-indicate kama imetoka kwenye Highest quality source au Proven source zinazofuata ni Average reliability, Low reliability, Not reliable na Source under review so ni rahisi kujua habari ipi uamini na ipi usiamini.