ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Hivi Greenwood anatarajiwa kurudi kikosini soon au ndo amepotezwa mazima na mambo ya PSEA?Mkuu Issue ya Alvarez ilikuwa nje ya Uwezo wetu, Man City wanamtangaza Leo Alvarez haikuchukua Siku nyingi yule Pimbi Greenwood anafanya yake.
Kwa Greenwood tulikuwa Tayari tuna future Top striker tunamkuza Taratibu, ndio maana Hatukuwa na Umuhimu wa kutafuta Striker wakati una Ronaldo, Cavani na Greenwood.
Pia mimi naungana na ETH, kikosi chetu si kibaya kama watu wanavyotaka kutuaminisha, yazibwe tu Mapengo, priority iwe midfielder, Board ikinunua Midfielder 2 za kazi, beki wa pembeni, na Backup striker Tunaanza vizuri tu Msimu wetu, then kuanzia hapo ndio tutajua mbivu na mbichi, ambaye hatajituma na kumsikiliza mwalimu safari yake ndio itaishia hapo.
Wadau leo wanasema kikosi ni kizuri, na kinahitaji mabadiliko kidogo sana [emoji23], tupewe uzima tutakumbushana hapa hapa..Watu mna mategemeo makubwa sana, mimi kwa yanayoendelea hata sijipi presha wacha ligi ianze tuonee.
maana kipindi RR anaingia nilidhani tutaanza kufanya poa ila ndo utumbo na hivi sioni hata sajili wakati vikosi bora kama man city, liver ,Madrid wanasajili sisi kimya hata mmoja na ndo kikosi kibovu ajabu.
Kakupa na option ya Belloti halafu [emoji23]ronaldo asipocheza rashford anaanza mbele dah
Huyo Beloti yuko free. Maana yake hatoigharimu timu Kwa ada za uhamisho.Kakupa na option ya Belloti halafu [emoji23]
Timu yetu ilikuwa inafungwa kwa sababu ilikuwa inacheza vibaya sana as a team.Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.
-wakati Ole anachukua Timu tulicheza 433 ila alivyooondoka Herera hatukuweza tena Kucheza huu mchezo, hivyo unaona Mchezaji mmoja tu Kaharibu mfumo mzima
-msimu unaofuatia nao hatukuanza vizuri na mfumo mpya wa 4231, mpaka kufikia january tupo nafasi ya 8, mechi 18 na point 25 tu.
-tukamnunua Bruno January, Missing piece, Ghafla timu nzima ika perform vizuri toka point 25 hadi 66, Nafasi ya 8 mpaka ya 3, wachezaji walioonekana wabovu ghafla nao waka perform vizuri.
-Then akaja Ronaldo balance ya Timu ikaharibika Tena. Mimi naamini kama Tungekuwa na DM/midfield za maana kina Maguire wasingekua exposed na Ronaldo asingehitajika Kukaba sana na Balance ya Timu ingepatikana.
Kwa ushahidi zaidi angalia Maguire asipokuepo si tunashindiliwa magoli ya Kutosha? Varana naye si anatoa maboko mengi tu kama Maguire? Lindelof je?
Kuna screenshot moja ilitumwa humu wakati wa mechi ya Chelsea, yaani kuna Gape karibia mita 20 ama 30 baina ya Midfield yetu na Mabeki, na Wachezaji wa Chelsea kibao. Hata Tungekuwa na Dias na Van Djik bado tungefungwa za kutosha tu.
Timu inakuwa exposed sanaJamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Huyu jamaa inasemekana ni Basi tena, maana hata kesi haijaanza,Hivi Greenwood anatarajiwa kurudi kikosini soon au ndo amepotezwa mazima na mambo ya PSEA?
I see.Huyu jamaa inasemekana ni Basi tena, maana hata kesi haijaanza,
😆😆😆😆 ETH hayupo busy. Kuna wachambuzi wanasema tayari amesha underestimate uzito wa kazi aliyonayo.View attachment 2255216
Manchester United na mambo ya usajili
Ila Ukisoma History ya Huyo jamaa ni Fighter sana, si mtu legelege wa kuja kukata Tamaa.😆😆😆😆 ETH hayupo busy. Kuna wachambuzi wanasema tayari amesha underestimate uzito wa kazi aliyonayo.
Huyu digo anakipaji sana cha mpira alitakiwa aache utoto na uselfishi mapema.Hivi Greenwood anatarajiwa kurudi kikosini soon au ndo amepotezwa mazima na mambo ya PSEA?
Dah pole yake kwakweliHuyu jamaa inasemekana ni Basi tena, maana hata kesi haijaanza,
ETH Anamng'ang'ania Na ilhali Mchezaji Kashaonesha Kutohiitaji Timu.yani Manchester united kichwa cha mwendawazimu kweli tulimuacha herera tunataka de jong hii ni akili au matope.
timu ya kisenge sana rasford ndo mbadala wa ronaldoTumeshamkosa NUNEZ, hivi pale mbele akae Nunez na Diaz kuna mtu kupona kweli??[emoji1]
ETH anasema hicho kikosi ni kizuri? Hayupo serious. Kikosi chetu na cha liver au man City kipi ni kizuri? Lakini wenzetu bado wanasajili.Sawa, tupo hapa.. ngoja tumuone bwana ETH na hiki kikosi anachosema kipo vizuri [emoji23]
Sie kwenye sajili tunajivuta sana yaan matatizo ya Man U huwa yanajirudia cjui kwanini?Hao liver wapo serious na nunez