Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,304
- 46,773
Say what you can say lakini Fred ni kiungo bora when it comes to quick transition passes..akisogea juu anakuwa mkali sana na hili tunalithibitisha kwa kuangalia mechi ambazo alisogezwa mbele.Hamna mtu hapo hana creativity kiungo gan weakness yake ni kupiga pass... Fred n wakutumika mechi zenye uhitaji wake tu lakn sio wa kuanza kila mechi...kwel tunaweka malengo ya kubeba epl na kiungo ni Fred izi n ndoto za abunuas...japo inategemea na kocha atakavyo mtumia
Sent using Jamii Forums mobile app